FFU a.k.a 'Fanya Fujo Uone' waimarisha Ulinzi kwenye Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbini Mlimani City

FFU a.k.a 'Fanya Fujo Uone' waimarisha Ulinzi kwenye Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbini Mlimani City

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Jeshi la Polisi Kwa kutumia Kikosi chake Cha FFU kimeimarisha Ulinzi katika maeneo yote ya Mlimani City unakofanyika Mkutano mkuu wa Chadema

Source: Mwananchi
 
Jeshi la Polisi Kwa kutumia Kikosi chake Cha FFU kimeimarisha Ulinzi katika maeneo yote ya Mlimani City unakofanyika Mkutano mkuu wa Chadema

Source: Mwananchi
Kwani wameambiwa Mlimani City kuna maandamano? Au ni ukiherehere wao. Mbona walivyosikia Tarimo Bonge akitekwa na wale wananzengo hawakufika eneo la tukio mpaka leo? Shubhaaaamit!
 
Kwani wameambiwa Mlimani City kuna maandamano? Au ni ukiherehere wao. Mbona walivyosikia Tarimo Bonge akitekwa na wale wananzengo hawakufika eneo la tukio mpaka leo? Shubhaaaamit!
Mlimani City kuna vitega Uchumi Vya wawekezaji wahuni wa mkutanoni Wanaweza kuvamia waibe
 
Dodoma kulipokuwa na mkutano wa ccm hawakuimarisha kama hapo.
 
CHADEMA sio kama wale nyumbu wa juzi waliofanya maamuzi ya kijinga.
ya ccm waachie ccm kile ni chama makini kwa watu makini endeleeni tu na uhuni wenu mnaoufanya huko mlimani city yaani ccm achana nayoi ni chama makini ulishaona wapi ccm wanatukanana kama hao wahuni wenu mbowe na lissu?
 
Jeshi la Polisi Kwa kutumia Kikosi chake Cha FFU kimeimarisha Ulinzi katika maeneo yote ya Mlimani City unakofanyika Mkutano mkuu wa Chadema

Source: Mwananchi
mwanamgambo wa Lisu, Lema afuatiliwe kwa ukaribu zaidi ikiwezekana asiruhusiwe kuingia ukumbi wa Uchaguzi 🐒
 
hakukuwa na viashiria vya kihuni kama hivyo vya chadema watu ilikuwa ni full shangwe tu
Kwani huko kuna uhuni? Nyinyi ccm ndio mnaouharibu huwo uchaguzi halafu mkishingizia uvunjifu wa amani.
 
hakukuwa na viashiria vya kihuni kama hivyo vya chadema watu ilikuwa ni full shangwe tu
Kwani huko kuna uhuni? Nyinyi ccm ndio mnaouharibu huwo uchaguzi halafu mkishingizia uvunjifu wa amani
CCM ni chama Cha Upendo 🌹 na Amani 😄

Chadema ni Chama Cha fire 🔥
Hakuna upendo hata mmoja msingetiliana sumu.
CCM ni chama Cha Upendo 🌹 na Amani 😄

Chadema ni Chama Cha fire 🔥
 
Dodoma kulipokuwa na mkutano wa ccm hawakuimarisha kama hapo.
Dodoma ulikuwa mkutano wa wastaarabu polisi huenda kuzingira mkutano wa wahuni ili wasije kutoana ngeu sababu hawaivi wao kwa wao

CCM hakukuwa na hiyo shida lakini kukiwa na shida polisi huxzngira tena kuzidi huo mkutano wa Chadema. Mfano mwaka 1984 kulitokea mchafuko wa hali ya hewa makamu mwenyekiti wa CCM na Raisi wa zanzibar Aboud Jumbe.akaleta mtafuruku ambao ulitishia amani na utulivu viikao vya CCM Dodoma.Polisi walimwagwa kama sisimizi kuhakikisha vikao vitafanyika kwa amani na utulivu na mji wote utakuwa tulivu na amani ili wajumbe wa CCM wafanye kile kilichowapeleka kwa mujibu wa katiba ni si mengineyo na wasiohusika wasisogee kwenye hicho kikao au eneo la kikao

Polisi wako pale ukumbi wa Mlimani city kuhakikisha wajumbe walio ndani ya mkutano wanafanya mkutano wao kwa amani na utulivu wa hali ya juu bila wahuni kuzingira jengo lao wanapofanya mkutano wao au kuanzisha uhuni ndani ya mkutano au nje ya mkutano kuharibu mali za watu au kuzuia wengine washindwe kuendelea na maisha yao na starehe zao hapo mlimani city ambao huo mkutano hauwahusu kabisa na hawana mpango nao
 
Back
Top Bottom