Ni mwisho wa Lisu na timu yake sio ChademaUsikute leo ndiyo mwisho wa chadema..
Chadema itaendelea kuwa strong ina misingi imara wenye Chadema wapo akina Mbowe
Slaa alienda na mbwembwe Chadema akawa maarufu kuliko Lisu alipoondoka Chadema aliondoka tu yeye peke yake hakuna hata mwanachama mmoja aliondoka naye na umaarufu wake wote ule akaacha Mbowe palepale yuko fit
Lowasa alitikisa Chadema akawa maarufu kuliko Mbowe mwenyewe na Lisu
Alipoondoka akaicha Chadema chini ya kiongozi shupavu Mbowe
Lisu naye leo anaenda kushindwa uchaguzi historia inaenda kujirudia Chadema itabaki.kwenye mikono imara ya Mbowe na kusomga mbele
Lisu ana ji over rate he is noa a political material kama team Lisu wanavyojaribu kumnadi
Historia yake kisiasa inaenda kudidimia leo baada ya kushindwa uchaguzi vibaya mno