JK atashinda kwa kishindo mnoooo...maana inaonekana KILA kituo matokeo yakitoka tu na CHADEMA kushinda, watu wanaingia kitaa kwa shangwe na vigeregere na kutelekeza lindo. Hii inawapa nafasi NEC kufanya mambo yao.
Nimeshakata tamaa kabisa na matokeo ya uRais