Fiaza Ally anataka aanze kupiga picha za utupu

Maisha yanaenda kas
Sana

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hizi ndio story watanzania wanapenda, na mtu atasoma hata kitabu kikubwa kama biblia kwa stori kama hizi!!

Mpe stri fikirishi uone kama atasoma hata page moja!!!
 
Hakuna ubaya wowote ni mtu mzima huyu yupo huru kufanya chochote kwenye mwili wake.

Pambaneni na hali zenu mwacheni Faiza aishi maisha yake aliyojichagulia.
 
Huyu dada nae eti anaenda kwenye siku zake dah aisee yaani ningekuwa hedhi nisingekubali kuingia mwilini mwa huyu mtu.

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
Yani kwake hizo kaona nyingi sana!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
With right money she can do anything
 
hivi huyu ndo nani wadau...mi hata simjuagi kwakweli
 
Sugu mbiw'i mbiw'i tukeghe umwanitu he!. Aka nkikulu uju![emoji31] [emoji31]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…