Ferrenga
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 942
- 1,658
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtangazaji wa kipindi cha familia Faiza Ally amesema yupo tayari kupiga picha za utupu endapo mtu anayemtaka kupiga picha hizo atafikia dau analolitaka
Aliyaongea hayo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Shilawadu Clouds FM kuwa atapewa milioni 6 ili apige picha hizo

heheheBangi imeshuka bei, soko la dunia halijali, IMF haitoi tamko kuthibiti mdororo wa kushuka kwa bangi kutoka 450 hadi 400 kwa kete kila maskini amekuwa na uwezo wa kununua basi shida tupu
Mtangazaji wa kipindi cha familia Faiza Ally amesema yupo tayari kupiga picha za utupu endapo mtu anayemtaka kupiga picha hizo atafikia dau analolitaka
Aliyaongea hayo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Shilawadu Clouds FM kuwa atapewa milioni 6 ili apige picha hizo
Haa haa haa mimi nafumba macho mpododo unapofuaga nasikiaapige tu tuone mpododo wake...............................
Hilo bwawa lake lina beach na minazi ya kimvuli?