Anatangaza hicho kipindi katika redio gani?Mtangazaji wa kipindi cha familia Faiza Ally amesema yupo tayari kupiga picha za utupu endapo mtu anayemtaka kupiga picha hizo atafikia dau analolitaka
Aliyaongea hayo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Shilawadu Clouds FM kuwa atapewa milioni 6 ili apige picha hizo
[HASHTAG]#ForSale[/HASHTAG]Mtangazaji wa kipindi cha familia Faiza Ally amesema yupo tayari kupiga picha za utupu endapo mtu anayemtaka kupiga picha hizo atafikia dau analolitaka
Aliyaongea hayo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Shilawadu Clouds FM kuwa atapewa milioni 6 ili apige picha hizo
Duh! yaani kama wale kuku wa bar waliotundikwa Vitu vingine ni kujidhalilisha tu dhahiri. !Bikin body sijui ndo wanasemaga ivo
Former first lady Mbeya urban constituencyhivi huyu ndo nani wadau...mi hata simjuagi kwakweli
Apige tu ndio iliyobaki mana bada ya Jiwe kubana ma-pedejee wamegoma kuwalipia hawa watoto nyumba za sinza, sasa wanahaha corner bar kila siku kupata hata watendaji kataMtangazaji wa kipindi cha familia Faiza Ally amesema yupo tayari kupiga picha za utupu endapo mtu anayemtaka kupiga picha hizo atafikia dau analolitaka
Aliyaongea hayo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Shilawadu Clouds FM kuwa atapewa milioni 6 ili apige picha hizo