Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtangazaji wa kipindi cha familia Faiza Ally amesema yupo tayari kupiga picha za utupu endapo mtu anayemtaka kupiga picha hizo atafikia dau analolitaka
Aliyaongea hayo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Shilawadu Clouds FM kuwa atapewa milioni 6 ili apige picha hizo

Duh! yaani kama wale kuku wa bar waliotundikwa Vitu vingine ni kujidhalilisha tu dhahiri. !Bikin body sijui ndo wanasemaga ivo
Former first lady Mbeya urban constituencyhivi huyu ndo nani wadau...mi hata simjuagi kwakweli