mandevuclassic Member Joined Nov 23, 2013 Posts 79 Reaction score 119 Sep 26, 2018 #1 Nijeria yaongia nusu fainali ya kombe la dunia kwa wanawake baada ya kuifunga ugiriki kwa vikapu 57 kwa 56..hii ni mara ya kwanza kwa timu ya basketball ya wanawake Afrika kuingia nusu fainali ya kombe la dunia....sasa naijeria kukutana na USA..!
Nijeria yaongia nusu fainali ya kombe la dunia kwa wanawake baada ya kuifunga ugiriki kwa vikapu 57 kwa 56..hii ni mara ya kwanza kwa timu ya basketball ya wanawake Afrika kuingia nusu fainali ya kombe la dunia....sasa naijeria kukutana na USA..!