FIBA KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE

FIBA KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE

Joined
Nov 23, 2013
Posts
79
Reaction score
119
Nijeria yaongia nusu fainali ya kombe la dunia kwa wanawake baada ya kuifunga ugiriki kwa vikapu 57 kwa 56..hii ni mara ya kwanza kwa timu ya basketball ya wanawake Afrika kuingia nusu fainali ya kombe la dunia....sasa naijeria kukutana na USA..!
 
Back
Top Bottom