Midevu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 274 Reaction score 437 Jun 12, 2023 #1 Habari zenu wakuu? Naomba kufahamu ISP wa fiber internet kwa Dodoma. Nafahamu TTCL pekee ila ningependa kufahamu options nyingine zilizopo.
Habari zenu wakuu? Naomba kufahamu ISP wa fiber internet kwa Dodoma. Nafahamu TTCL pekee ila ningependa kufahamu options nyingine zilizopo.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jun 12, 2023 #2 Huko hawawezi wekeza sababu hakuna faida
Midevu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 274 Reaction score 437 Jun 15, 2023 Thread starter #3 HIMARS said: Huko hawawezi wekeza sababu hakuna faida Click to expand... Sema hii huduma ni ya msingi, haswa sehemu kama Dodoma ambayo ndio makato makuu ya nchi. TTCL wanajivuta sana kufanya connection.
HIMARS said: Huko hawawezi wekeza sababu hakuna faida Click to expand... Sema hii huduma ni ya msingi, haswa sehemu kama Dodoma ambayo ndio makato makuu ya nchi. TTCL wanajivuta sana kufanya connection.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jun 15, 2023 #4 Midevu said: Sema hii huduma ni ya msingi, haswa sehemu kama Dodoma ambayo ndio makato makuu ya nchi. TTCL wanajivuta sana kufanya connection. Click to expand... Umasikini wa wana Dodoma ndo tatizo
Midevu said: Sema hii huduma ni ya msingi, haswa sehemu kama Dodoma ambayo ndio makato makuu ya nchi. TTCL wanajivuta sana kufanya connection. Click to expand... Umasikini wa wana Dodoma ndo tatizo