Fiber ISP kwa Dodoma

Fiber ISP kwa Dodoma

Midevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
274
Reaction score
437
Habari zenu wakuu?

Naomba kufahamu ISP wa fiber internet kwa Dodoma. Nafahamu TTCL pekee ila ningependa kufahamu options nyingine zilizopo.
 
Huko hawawezi wekeza sababu hakuna faida
Sema hii huduma ni ya msingi, haswa sehemu kama Dodoma ambayo ndio makato makuu ya nchi. TTCL wanajivuta sana kufanya connection.
 
Sema hii huduma ni ya msingi, haswa sehemu kama Dodoma ambayo ndio makato makuu ya nchi. TTCL wanajivuta sana kufanya connection.
Umasikini wa wana Dodoma ndo tatizo
 
Back
Top Bottom