Fiberglass Boat Zinauzwa

Fiberglass Boat Zinauzwa

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
5,489
Reaction score
14,091
Fiberglass boat zinauzwa zina urefu wa mita 7 na upana wa mita 1.6 hazina engine na canopy. Zimetengenezwa nchini Indonesia na kuletwa Zanzibar, ni mpya boti mpya.

Unaweza ukatumia kwa uvuvi,utalii na kubeba abiria. Gharama ya boti moja ni million 9.5 mpaka ulipo bei hii ni bila engine.

Mawasiliano 0655361223
IMG-20221106-WA0047.jpg
IMG-20221106-WA0046.jpg
IMG-20221106-WA0045.jpg
IMG-20221106-WA0044.jpg
IMG-20221106-WA0038.jpg
 
Fiberglass boat zinauzwa zina urefu wa mita 7 na upana wa mita 1.6 hazina engine na canopy. Zimetengenezwa nchini Indonesia na kuletwa Zanzibar, ni mpya boti mpya.

Unaweza ukatumia kwa uvuvi,utalii na kubeba abiria. Gharama ya boti moja ni million 9.5 mpaka ulipo bei hii ni bila engine.

Mawasiliano 0655361223
View attachment 2409042View attachment 2409043View attachment 2409044View attachment 2409045View attachment 2409046
kwa boat hii unaweza funga engine ya ukubwa gani (horse power)? cost yake ni ngap (engine)?
 
kwa boat hii unaweza funga engine ya ukubwa gani (horse power)? cost yake ni ngap (engine)?
Hapo engine unaweza ukafunga Horsepower 9.9 au 15.

Yamaha 2 stroke 9.9hp ni 5.3million
Yamaha 2 stroke 15hp ni 5.4million
Suzuki na Tohatsu 2 stroke ni 4.5million
Parsun na Powertek bei zinarange kwa 3.8million.
 
Hahah we ulfikiri wapemba na watanga wanafurahia kupanda mitumbwi
hahaha si mchezo, Kigamboni Ferry , namuuliza jamaa "siwezi zama na hii kitu" jamaa akajibu "ni fiber"

nikajua ni 2m kushuka chini japo sikumuuliza, kumbe ni kibanda kizima cha vyumba vinne Chanika

ila ziko poa sana majini,
 
Hiyo jet ski bila 16million kwa used hugusi.
Engine used zinaanza 5m
 
Hapo engine unaweza ukafunga Horsepower 9.9 au 15.

Yamaha 2 stroke 9.9hp ni 5.3million
Yamaha 2 stroke 15hp ni 5.4million
Suzuki na Tohatsu 2 stroke ni 4.5million
Parsun na Powertek bei zinarange kwa 3.8million.
Nilikuwa Tanga siku moja nikakutana na mshikaji yupo Dodoma Kikazi aisee wtanzania tuna fursa nyingi sana sema ni exposure ndo tatizo na wachache waliofumbuliwa macho hawawezi kusaidia kwengine kufumbuka macho....
Ukweli ni kwamba mazao ya baharini hasa samaki wanalipa sana ila wengi hatujapata fursa ya kuelewa hilo,
ukiweza kuwekeza kwenye mambo ya uvuvi unaweza badili kbs maisha!

ukinunua hiyo fibre ukafunga engine ya horse power 15 ukamkabidhi mpemba mzoefu wa majini kila baada ya siku 3 anakuletea Milioni na ushee!! jamaa anazungumza through exprince yeye anayo hiyo boat na inafanya vema ukanda wa pwani ya Dar es salaam.

Kwa kifupi hii issue Mungu akijalia by Feb, 2023 nita risk nitumie hata 20M niwekeze huko. Nitatafuta mpemba wangu mmoja mwaminifu nimkabidhi Chombo, nadhani ndani ya Mwaka nitakuwa nimeona njia!!!
 
Nilikuwa Tanga siku moja nikakutana na mshikaji yupo Dodoma Kikazi aisee wtanzania tuna fursa nyingi sana sema ni exposure ndo tatizo na wachache waliofumbuliwa macho hawawezi kusaidia kwengine kufumbuka macho....
Ukweli ni kwamba mazao ya baharini hasa samaki wanalipa sana ila wengi hatujapata fursa ya kuelewa hilo,
ukiweza kuwekeza kwenye mambo ya uvuvi unaweza badili kbs maisha!

ukinunua hiyo fibre ukafunga engine ya horse power 15 ukamkabidhi mpemba mzoefu wa majini kila baada ya siku 3 anakuletea Milioni na ushee!! jamaa anazungumza through exprince yeye anayo hiyo boat na inafanya vema ukanda wa pwani ya Dar es salaam!
Kweli mkuu, pia kuna wengine huwa wanaenda Pangani wananunua samaki na kusafirisha mikoa ya Arusha, Dodoma.
 
Kuna dogo anafunga laki 6 J1 na Jumapili kupeleka wala bata Mbudya.....
Hii ukiwa unakodisha Mbudya unapiga pesa nzuri, pia kwa wale wanaopenda kununua Toyota Ist na kumpa dereva wa Uber ni bora 14million uchukue boti yenye engine uwe unakodisha kwa wavuvi.

Kwa Dar kukodi boti ni elfu 15,engine 15, nyavu 15 jumla siku moja unapata elfu 45 wavuvi wapate samaki wasipate asubuhi lazima wakupe elfu 45. Ukiweka kukodisha watalii hakuna presha kwa chombo,engine na mfanyakazi kwa siku hukosi elfu 50. Ukikata na comprehensive Insurance mwaka mzima haizidi laki 2.

Boti haina risk ya kugongwa,kupigwa pasi, madeni ya traffic, hiyo bima itakulinda incase engine imeibiwa maana walipo watu weusi si salama kujihamini.Moto au kuzama utalipwa pasi na shaka.
 
Back
Top Bottom