Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
aisee, sikua najua izi ngoma zinafikia hukumillion 9.5
kwa boat hii unaweza funga engine ya ukubwa gani (horse power)? cost yake ni ngap (engine)?Fiberglass boat zinauzwa zina urefu wa mita 7 na upana wa mita 1.6 hazina engine na canopy. Zimetengenezwa nchini Indonesia na kuletwa Zanzibar, ni mpya boti mpya.
Unaweza ukatumia kwa uvuvi,utalii na kubeba abiria. Gharama ya boti moja ni million 9.5 mpaka ulipo bei hii ni bila engine.
Mawasiliano 0655361223
View attachment 2409042View attachment 2409043View attachment 2409044View attachment 2409045View attachment 2409046
Hapo engine unaweza ukafunga Horsepower 9.9 au 15.kwa boat hii unaweza funga engine ya ukubwa gani (horse power)? cost yake ni ngap (engine)?
Zina bei mkuu, engine zake pia bei zimechangamka.aisee, sikua najua izi ngoma zinafikia huku
AhahahahZina bei mkuu, engine zake pia bei zimechangamka.
Hahah we ulfikiri wapemba na watanga wanafurahia kupanda mitumbwiaisee, sikua najua izi ngoma zinafikia huku
250hp kama ile ya kwenye boti za Bakhresa pale kivukoni bila 60million hupati engine mojaAhahahah
hahaha si mchezo, Kigamboni Ferry , namuuliza jamaa "siwezi zama na hii kitu" jamaa akajibu "ni fiber"Hahah we ulfikiri wapemba na watanga wanafurahia kupanda mitumbwi
hahaha si mchezo, Kigamboni Ferry , namuuliza jamaa "siwezi zama na hii kitu" jamaa akajibu "ni fiber"
nikajua ni 2m kushuka chini japo sikumuuliza, kumbe ni kibanda kizima cha vyumba vinne Chanika
ila ziko poa sana majini,
Nilikuwa Tanga siku moja nikakutana na mshikaji yupo Dodoma Kikazi aisee wtanzania tuna fursa nyingi sana sema ni exposure ndo tatizo na wachache waliofumbuliwa macho hawawezi kusaidia kwengine kufumbuka macho....Hapo engine unaweza ukafunga Horsepower 9.9 au 15.
Yamaha 2 stroke 9.9hp ni 5.3million
Yamaha 2 stroke 15hp ni 5.4million
Suzuki na Tohatsu 2 stroke ni 4.5million
Parsun na Powertek bei zinarange kwa 3.8million.
Kweli mkuu, pia kuna wengine huwa wanaenda Pangani wananunua samaki na kusafirisha mikoa ya Arusha, Dodoma.Nilikuwa Tanga siku moja nikakutana na mshikaji yupo Dodoma Kikazi aisee wtanzania tuna fursa nyingi sana sema ni exposure ndo tatizo na wachache waliofumbuliwa macho hawawezi kusaidia kwengine kufumbuka macho....
Ukweli ni kwamba mazao ya baharini hasa samaki wanalipa sana ila wengi hatujapata fursa ya kuelewa hilo,
ukiweza kuwekeza kwenye mambo ya uvuvi unaweza badili kbs maisha!
ukinunua hiyo fibre ukafunga engine ya horse power 15 ukamkabidhi mpemba mzoefu wa majini kila baada ya siku 3 anakuletea Milioni na ushee!! jamaa anazungumza through exprince yeye anayo hiyo boat na inafanya vema ukanda wa pwani ya Dar es salaam!
Hiyo bei ongeza milion 5 ya engineKumbe boat ni gharama hivyo
Sikusoma vizuriHiyo bei ongeza milion 5 ya engine
Engine ya kawaida ni 3MSikusoma vizuri
Kuna dogo anafunga laki 6 J1 na Jumapili kupeleka wala bata Mbudya.....Kweli mkuu, pia kuna wengine huwa wanaenda Pangani wananunua samaki na kusafirisha mikoa ya Arusha, Dodoma.
Hii ukiwa unakodisha Mbudya unapiga pesa nzuri, pia kwa wale wanaopenda kununua Toyota Ist na kumpa dereva wa Uber ni bora 14million uchukue boti yenye engine uwe unakodisha kwa wavuvi.Kuna dogo anafunga laki 6 J1 na Jumapili kupeleka wala bata Mbudya.....