babuumzuri
Member
- Sep 18, 2020
- 14
- 7
Ute wa kwenye magoti.Nini hiyo kwa lugha ya chato?
Upo au usiwepo. Inategemea na seli za mwili wako.Je, ukitolewa fibroids kuna uwezekano wa kurudia tena kuota au ndo umeshapona moja kwa moja?
Waliotumia na wakapona wako wapi??Upo au usiwepo. Inategemea na seli za mwili wako.
Wagonjwa waliotolewa kwa upasuaji kuna uwezekano wa kurudi tena. Ila kama uvimbe umetolewa kwa njia ya dawa hasa stemcell cellifezy ni asilimia 100 haurudi tena.
Pia kama huo uvimbe umetolewa.kwa upasuaji ili usirudi tena nakushauri tumia stemcell ambayo kazi yake ni kuondoa seli chakavu za mwili na kujenga mpya.
Matumizi ya stemcell kwa maelezo.ziada wapigie Longlife LTD 0699254400
Kwa baadhi ya wanawake Zinarudi vizuri tuu... Tena za kutosha ... Ndani ya miaka 5-10 zinakuwepo nyingine mpya😇🥲😇Je, ukitolewa fibroids kuna uwezekano wa kurudia tena kuota au ndo umeshapona moja kwa moja?