Fibroids

Fibroids

babuumzuri

Member
Joined
Sep 18, 2020
Posts
14
Reaction score
7
Je, ukitolewa fibroids kuna uwezekano wa kurudia tena kuota au ndo umeshapona moja kwa moja?
 
Upo au usiwepo. Inategemea na seli za mwili wako.

Wagonjwa waliotolewa kwa upasuaji kuna uwezekano wa kurudi tena. Ila kama uvimbe umetolewa kwa njia ya dawa hasa stemcell cellifezy ni asilimia 100 haurudi tena.

Pia kama huo uvimbe umetolewa.kwa upasuaji ili usirudi tena nakushauri tumia stemcell ambayo kazi yake ni kuondoa seli chakavu za mwili na kujenga mpya.

Matumizi ya stemcell kwa maelezo.ziada wapigie Longlife LTD 0699254400
 
Wakati wa operation wanatoa kubwa tuu. Ndogo hawatoi.... Ndio baada ya muda zile ndogo zinakuwa kubwa Tena.
 
Upo au usiwepo. Inategemea na seli za mwili wako.

Wagonjwa waliotolewa kwa upasuaji kuna uwezekano wa kurudi tena. Ila kama uvimbe umetolewa kwa njia ya dawa hasa stemcell cellifezy ni asilimia 100 haurudi tena.

Pia kama huo uvimbe umetolewa.kwa upasuaji ili usirudi tena nakushauri tumia stemcell ambayo kazi yake ni kuondoa seli chakavu za mwili na kujenga mpya.

Matumizi ya stemcell kwa maelezo.ziada wapigie Longlife LTD 0699254400
Waliotumia na wakapona wako wapi??
 
Je, ukitolewa fibroids kuna uwezekano wa kurudia tena kuota au ndo umeshapona moja kwa moja?
Kwa baadhi ya wanawake Zinarudi vizuri tuu... Tena za kutosha ... Ndani ya miaka 5-10 zinakuwepo nyingine mpya😇🥲😇
 
Back
Top Bottom