Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

Kuna pia Opera VPN ambayo yapatikana kwenye iOS na Android. Nadhani ni nzuri zaidi na pia ni free.
 
Safi sana kwa kuleta huu uzi. Kuongezea kuna moja inaitwa Orbot nayo ni kali sana.
 
Sasa hapo kwenye email si ndo wataanzia kukutrack au?
 
Nashukuru elimu nzuri, maranyingi nimekuwa nikipekuwa Toka piratebay,huwa wananiletea hiyo inshu ya vpn naachana navyo Najua nimambo yao ya kijana adds nyingi ukiwa online
 
gharama ya kupurchase hzo app ni ipi??
Ukishadownload bure, trial version ikiisha muda utaoneshwa gharama mfano express vpn ni $9.99.
Mara ya mwisho kuitumia Tunnel bear ilikua unaweza kutumia bure ukiwa hautaki ku-upgrade.
 
usiziamini sana vpn apps kwamba zitakuficha kiasi kwamba mtu akiamua kukutrace eti hatokupata....
 
Uzi huu ni kwa ajili ya kumuwezesha mtu kuaccess huduma ambayo imebanwa sehemu husika, atakayetumia kwa mengine atakua hajautendea haki huu uzi.
Haswaaaa lkn wengi wameelewa vingine...
 
Nilishawahi kujaribu kutumia VPN ya bure ya kudownload playstore, ilinipa IP addresses za Netherlands na UK, but the funny thing was, ads kwenye browser zilikuwa zinakuja za bongo, sasa swali, inakuaje nipate ads za kibongo wakati nipo Uholanzi au UK? Au IP address kubadilishwa hivyo ni kwa ajili gani? Naomba elimu hapo watalaamu
 
Izi za playstore ni magumash tu. Za pc Ipo unabadili IP adress vzuri na unaweza stream hata video/ mitandao ambayo ipo limited kwa nch flani
 
Ndio VPN zinaficha IP address Sema mpaka utumie VPN za ukweli na Mara nyingi ni za kulipia kwani wewe umetumia VPN gani hiyo mpaka inaleta ads za bongo
 
hiyo itakuwa siyo VPN..

coz one of advantages za VPN, ni security, private, na the data is kept secured and encrypted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…