Yan nakereka sana na watu wanaojibu kwa staili hizi, unaweza sema mtu hana akili timamu vile.Sasa wewe unajua Si useme.... Daah uswahili bna ...funguka mawazo yako tujue mkuu
Unaweza kutusaidia maelezo jinsi ya ku set vpn km unavyotumia ww kwa ajili ya encryption acha iyo ya officeMimi natumia VPN kila siku. Primarily kwa ajili ya data encryption ya internet connection yangu (my own subscribed VPN) au nikiwa nafanya kazi kutoka nyumbani (my office VPN).
Ninachotaka kujua huyu anayesema anapata free internet kwa VPN, ana connect kwenye VPN kwa kutumia nini?
Mimi nahitaji internet connection kwanza ili kuconnect kwenye VPN.
Sasa kwa maelezo ya mtoa mada ninkama anatuambia anatumia VPN ku connect kwenye network? How dies he cinnect to the VPN without having an internet connection?
That does not make sense.
Habari zote zipo www.hide.me ukitembelea hapo kuna software unaweza ku download kwa trial, uka install kwenye computer yako.Unaweza kutusaidia maelezo jinsi ya ku set vpn km unavyotumia ww kwa ajili ya encryption acha iyo ya office
Sent from my SM-A700K using JamiiForums mobile app
Ok ok thnx sana. Na kwa upande wa kisheria hakuna shida yoyote? Like ukifanya ivo is illegal?Habari zote zipo www.hide.me ukitembelea hapo kuna software unaweza ku download kwa trial, uka install kwenye computer yako.
Once uki install, unachagua nchi yoyote unayotaka, unapata IP Address ya kutoka nchi hiyo.
Habari zako zote za mtandaoni zinakuwa encrypted, watu wakijaribu ku snoop wanaona garbage tu, hawaoni umetembelea mtandao gani na umefanya nini.
Kwa nchi kama Marekani sio illegal kwa sababu ni sawa na wewe kuweka password kwenye email yako, unavyoweka password kwenye email yako au unavyofunga barua yako ndani ya bahasha unavunja sheria?Ok ok thnx sana. Na kwa upande wa kisheria hakuna shida yoyote? Like ukifanya ivo is illegal?
Sent from my SM-A700K using JamiiForums mobile app
AhahahahahahaWatu wanaogopa kuchangia JF kwasababu hujui nani anasoma unachochangia
duh! aksante sana Kang kwa maelezo yako mazur, sasa ni kwa namna gan na mm naweza kutumia iyo VPN? maana nataman sana kutumia iyo kitu sema tatizo sijafaham xo kama kuna uwezekano naomba unielekeze ili na mm niingie kwenye huo mfumo, cm yangu inatumia android na sio ios
Sent using Jamii Forums mobile app