Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inafanya kazi gani ndugu nidadafulie nieleweDownload hidemyass
kwanza nikuulize swali kwanini umeamua kumtumia VPN? kama haujui matumizi tukusaidie hapaNatumia free vpn nimepata playstore kwa kuangalia comment za member nikajiridhisha nami nikapakua hivi unapotumia unakuwa unaliwa mbs kadhaa nawe unapewa mbs kadhaa kama picha yangu inavyoonesha hapa chini[emoji116]
View attachment 651333
NAOMBENI MUONGOZO MZURI NIPATE KUFAHAMU ASEE .. MKUU CHIEF MKWAWA NA WENGINEO WENYE UELEWA PAMBANUENI HUU UZI , PILI KAMA KUNA VPN NAWEZA KUWA NATUMIA KUCONTROL MBS ZANGU ZISILIKE KWA WINGI NISAIDIENI .
binafsi natumia vpn kwa usalama wangu wa data kusave moneykwanza nikuulize swali kwanini umeamua kumtumia VPN? kama haujui matumizi tukusaidie hapa
VPN haifanyi hiyo kazi aliyekuambia kakudanganya jaribu kuuliza tena kazi za vpn tukusaidiebinafsi natumia vpn kwa usalama wangu wa data kusave money
[emoji22] [emoji22] nieleweshe kiongoziVPN haifanyi hiyo kazi aliyekuambia kakudanganya jaribu kuuliza tena kazi za vpn tukusaidie
vizuri[emoji22] [emoji22] nieleweshe kiongozi
oky nimesoma vema na nimekuelewavizuri
App ya vpn hii inakupa uwezo wa kubadili IP address yako na kupata ya nchi nyingine mfano wewe upo tanzania unaweza kuwasha vpn na kuchagua server za USA na mtandaoni ukaonekana upo USA
Ip addres ni nini? huu ni utambulisho unaopewa na internet service provider ISP wako kama voda au tigo unapotumia internet unaweza kuangalia hapa detail zako Whats My IP Address| Check IP Information
matumizi ya vpn ni kuweka usiri wa taarifa zako ukiwa unatumia internet mfano ukiwa unatumia internet bila vpn basi ISP wako atakuwa anajua website na app zote ulizotembelea kama jamii forums instagram au facebook
nchi nyingi zilizozuiwa baadhi ya mitandao kama vile china na korea kaskazini inawalazimu watumie vpn ili kuipata mitandao hiyo iliyokuwa blocked nchini kwao kama vile whatsapp na instagram
kwangu mimi natumia vpn ili kuaccess app ambazo zimezuiliwa bongo kana vile spotify, na vile vile kujikinga kwenye mitandao ambayo siiamini maana mtu anaweza kukuhack akijua IP address yako halisi
Nawezaje kuitumia katika cm yangu baada ya kuinstallVirtual private network
Anaeijua fresh naomba anipe maelekezo ya namna ya kufanya hadi kuitumia.Ni silaa hatari ambazo anazitumia mange kimambi endapo watazima mtandao popote pale
Asante mkuu na hili neno LCD ktk monitor huwa linamaanisha nini na nini hasa hii maana utaskia hii ni LCD Mara LED,Virtual private network ni mfumo ulioanzishwa mwanzo kwajili ya biashara kubwa baadae hata watumiaji binafsi walilazimika kutumia ,
Mfano: coca cola company iko karibu dunia nzima bila kutumia vpn wangelazimika kutumia cables kuunganisha office zao mfano Canada, Georgia, Tanzania ila haiwezekani kwaiyo watatumia internet na vpn itahusika hapo ili kulinda taarifa zao kutoka kwa hackers.
Mfumo huu unaosaidia ukiwa kwenye mtandao usionekane uko wapi(hide your location), pia unakusaidia kuficha taarifa zako (data encryption), pia unakusaidia kuingia website zilizofungiwa(unblock site) sehemu uliopo mfano ukiwa china sites kama YouTube, google, facebook, zimefungiwa ukitaka kiziacces lazma utumie vpn,
Vpn pia inauwezo wakuficha I.p address yako isijulikane iko wapi?
Vpn zipo nyingi na kila moja ina idadi ya servers , zipo za free na zipo zakulipiwa kwa jinsi yakutumia vpn ingia YouTube kila moja ina jinsi yaku install + configuration. .