Ficha mafanikio yako

Ficha mafanikio yako

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
-Umenunua ndinga mpya, kaa kimya

-Umenunua nyumba mpya, kaa kimya

-Umepata pisi mpya, kaa kimya

-Amepata mimba, umepata kaa kimya

-Umepata promotion, kaa kimya

Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada.

Ficha mafanikio yako.
 
Hakika
 
Eeeeh haya sawa
 
Tuacheni masihara kuna watu wanashinda Jf😂😂🙌🏻 24hours.
Jamaa unajitahidi sana yaani nikitoka kuosha magari nikichungulia kidogo nakuta post yako.
Hongera mkuu
 
Sasa hapo mbona vingi havijifichi mkuu, au hilo gari utaendeshea chumbani?

Mafanikia mengi hayajifichi, kikubwa ni kuwa humble tu na kuomba Mungu atuepushie na husda za walimwengu,
Msome vizuri jamaa. Usiwe na haraka ya kutoa hoja mkuu
 
Hapo kwenye kuficha mimba ni changamoto kwa hawa dada / mama zetu ,maake baadhi yao matumbo yanakuwa yameshatangulia sana mbele ikiwa na miezi kadhaa.
 
-Umenunua ndinga mpya, kaa kimya

-Umenunua nyumba mpya, kaa kimya

-Umepata pisi mpya, kaa kimya

-Amepata mimba, umepata kaa kimya

-Umepata promotion, kaa kimya

Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada.

Ficha mafanikio yako.
📝
 
Mbongo afiche?
 
Sasa hapo mbona vingi havijifichi mkuu, au hilo gari utaendeshea chumbani?

Mafanikia mengi hayajifichi, kikubwa ni kuwa humble tu na kuomba Mungu atuepushie na husda za walimwengu,
Nadhani anachosema instead of wewe kutangaza utafanya nini au utaenda kufanya nini? Let mafanikio yazungumze yenyewe si wewe
 
Kuna mgumba hapa kwetu amepata mimba, basi mtaa mzima umejaa mate...teh🤣
 
Kama unaona unaanza kupata mafanikio ni jambo jema kuama mitaa wanayokaa masikini unavyoanza kufanikiwa na usalama wako ndio unapozidi kupungua kulogwa,kuibiwa na kuvamiwa saidia watu wasiojiweza na wenye uhitaji ila usifanye hivyo kwa watu wanaokufahamu
 
-Umenunua ndinga mpya, kaa kimya

-Umenunua nyumba mpya, kaa kimya

-Umepata pisi mpya, kaa kimya

-Amepata mimba, umepata kaa kimya

-Umepata promotion, kaa kimya

Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada.

Ficha mafanikio yako.
Upo sahihi, kuna wengine hutoa hongera za kinafiki, hao huwa na deal nao kitaalamu sana mpaka wanaanza kunionea huruma tena.

Wakikupandisha, wewe jishushe.! Ukijitangazia neema unakua kama umewasha moto kwenye nafsi yao, hususan marafiki/ndugu wa jiran
 
-Umenunua ndinga mpya, kaa kimya

-Umenunua nyumba mpya, kaa kimya

-Umepata pisi mpya, kaa kimya

-Amepata mimba, umepata kaa kimya

-Umepata promotion, kaa kimya

Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada.

Ficha mafanikio yako.
Watajuaje sasa ?? .

Kwa kifupi watu tunatafuta pesa na kuishi maisha expensive ili kurudisha nafasi zetu na kuleta heshima /kudolishia wengine.
 
Back
Top Bottom