Hakika-Umenunua ndinga mpya, kaa kimya
-Umenunua nyumba mpya, kaa kimya
-Umepata pisi mpya, kaa kimya
-Amepata mimba, umepata kaa kimya
-Umepata promotion, kaa kimya
Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada.
Ficha mafanikio yako.
Eeeeh haya sawa-Umenunua ndinga mpya, kaa kimya
-Umenunua nyumba mpya, kaa kimya
-Umepata pisi mpya, kaa kimya
-Amepata mimba, umepata kaa kimya
-Umepata promotion, kaa kimya
Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada.
Ficha mafanikio yako.
Msome vizuri jamaa. Usiwe na haraka ya kutoa hoja mkuuSasa hapo mbona vingi havijifichi mkuu, au hilo gari utaendeshea chumbani?
Mafanikia mengi hayajifichi, kikubwa ni kuwa humble tu na kuomba Mungu atuepushie na husda za walimwengu,
Mjanja mmoja huyuTuacheni masihara kuna watu wanashinda Jf😂😂🙌🏻 24hours.
Jamaa unajitahidi sana yaani nikitoka kuosha magari nikichungulia kidogo nakuta post yako.
Hongera mkuu
📝-Umenunua ndinga mpya, kaa kimya
-Umenunua nyumba mpya, kaa kimya
-Umepata pisi mpya, kaa kimya
-Amepata mimba, umepata kaa kimya
-Umepata promotion, kaa kimya
Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada.
Ficha mafanikio yako.
Unaificha kwa kukaa kimya,usibwatebwate kwa watu waache wataiona wenyewe. Jamaa anatuasa tuache kusema sema kuhusu mambo yetu. Tuyaache yataonekana tu automatic bila kufungua midomoUnafichaje MIMBA MKUU
Mbongo afiche?-Umenunua ndinga mpya, kaa kimya
-Umenunua nyumba mpya, kaa kimya
-Umepata pisi mpya, kaa kimya
-Amepata mimba, umepata kaa kimya
-Umepata promotion, kaa kimya
Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada.
Ficha mafanikio yako.
Nadhani anachosema instead of wewe kutangaza utafanya nini au utaenda kufanya nini? Let mafanikio yazungumze yenyewe si weweSasa hapo mbona vingi havijifichi mkuu, au hilo gari utaendeshea chumbani?
Mafanikia mengi hayajifichi, kikubwa ni kuwa humble tu na kuomba Mungu atuepushie na husda za walimwengu,
Upo sahihi, kuna wengine hutoa hongera za kinafiki, hao huwa na deal nao kitaalamu sana mpaka wanaanza kunionea huruma tena.-Umenunua ndinga mpya, kaa kimya
-Umenunua nyumba mpya, kaa kimya
-Umepata pisi mpya, kaa kimya
-Amepata mimba, umepata kaa kimya
-Umepata promotion, kaa kimya
Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada.
Ficha mafanikio yako.
Watajuaje sasa ?? .-Umenunua ndinga mpya, kaa kimya