-Umenunua ndinga mpya, kaa kimya
-Umenunua nyumba mpya, kaa kimya
-Umepata pisi mpya, kaa kimya
-Amepata mimba, umepata kaa kimya
-Umepata promotion, kaa kimya
Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada.
Ficha mafanikio yako.