John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Vitu kama hivi ndio mnakumbuka kuna wabudha, wahindu na wapagani!![emoji848]Ni sahihi maana Kuna dini nyingi sana,ukiweka gospel inatakiwa na kaswida ziwepo........
Kuna wahindu,wapagani,wabudha etc
Mbona umeandka kama unakimbizwaFid aache woga ajifunze kwa Nikki mbishi the G.O.A.T Mwana hip pop haitakiwi uwe mwoga mwoga sio anafuata upepo tu.
Kimsingi Kila jambo kwenye nchi inatakiwa ligawanywe sawaVitu kama hivi ndio mnakumbuka kuna wabudha, wahindu na wapagani!![emoji848]
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Ni upuuzi kuweka injili kwenye mambo kama hayo, hao wa injili waanzishe tuzo zao