Fid Q akiri kuzama kwa huyu mrembo

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

Mkali wa HipHop Bongo Fid Q ameonekana kukamatika kimahaba kwa mrembo ambaye amemtambulisha nyumbani kwao Mwanza na ameiambia eNEWZ kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano rasmi.

Fid Q amesema ameamua kupost picha kwenye mitandao yake ya kijamii ili kupunguza wasichana wengine kumtumia meseji za kumsumbua lakini pia kuwaonyesha mashabiki zake kwamba kwa sasa yupo katika mahusiano rasmi kwani umri wake unaruhusu.

''Nimeamua kuweka mahusiano yangu wazi ili kuzuia usumbufu wa kina dada wanaonisumbua katika mitandao ya kijamii na hata ninapokuwa kwenye viwanja vya starehe na mda wowote kuanzia sasa ninaweza kutangaza ndoa'', amefunguka.

Kwa upande wake mrembo huyo wa Fid amesema hawashangai sana wanawake wanaomtongoza Fid kwenye 'Social network' kwa kuwa mpenzi wake anamuonekano mzuri na ni mwanaume ambaye ameshapitia mambo mengi duniani hivyo anaamini kwamba atakuwa mwanaume bora kwake.


Eatv
 
kitu kama shemeji hana chura ila bwawejha sana ngosha umechagua cheupe pee kudumisha mila😀
 
Yule mzungu aliyezaa naye karudi Czechia? Huyu demu wake mpya is such an ugly ass and masculine-like.
 
Nikafikiri Fid Q Yule Faru John aliyempa mimba mtendaji wake
Hahaha..nasikia faru john alihangaika sana kutafuta faru jike jeupe (white rhinos)..maana ni wachache sana duniani !...akaamua kujimilikisha kabisa ..sijui mtoto ni black rhino au white rhino kama mama yake?..wataalamu tunasubiri mrejesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…