DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
yule mwenye kidevu kirefu ...mfano wa moka.Baba Felister au baba Faustar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule mwenye kidevu kirefu ...mfano wa moka.Baba Felister au baba Faustar?
Jamani hizi zote chuki tu!!!?Yule mzungu aliyezaa naye karudi Czechia? Huyu demu wake mpya is such an ugly ass and masculine-like.
Kuna huyu!
Kuna Ally K!
Kuna Dully!
wajitahidi, Bob Marley alianza hivi hivi!
Mkali wa HipHop Bongo Fid Q ameonekana kukamatika kimahaba kwa mrembo ambaye amemtambulisha nyumbani kwao Mwanza na ameiambia eNEWZ kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano rasmi.
Fid Q amesema ameamua kupost picha kwenye mitandao yake ya kijamii ili kupunguza wasichana wengine kumtumia meseji za kumsumbua lakini pia kuwaonyesha mashabiki zake kwamba kwa sasa yupo katika mahusiano rasmi kwani umri wake unaruhusu.
''Nimeamua kuweka mahusiano yangu wazi ili kuzuia usumbufu wa kina dada wanaonisumbua katika mitandao ya kijamii na hata ninapokuwa kwenye viwanja vya starehe na mda wowote kuanzia sasa ninaweza kutangaza ndoa'', amefunguka.
View attachment 691539
Kwa upande wake mrembo huyo wa Fid amesema hawashangai sana wanawake wanaomtongoza Fid kwenye 'Social network' kwa kuwa mpenzi wake anamuonekano mzuri na ni mwanaume ambaye ameshapitia mambo mengi duniani hivyo anaamini kwamba atakuwa mwanaume bora kwake.
Eatv
Couldn't care less about nothing. Different strokes for different folks.Na yule mama yake wameachana?
mama gani!?Na yule mama yake wameachana?
Umemsahau Ney wa MitegoKuna huyu!
Kuna Ally K!
Kuna Dully!
wajitahidi, Bob Marley alianza hivi hivi!