Fid Q akiri kuzama kwa huyu mrembo

Kuna huyu!
Kuna Ally K!
Kuna Dully!
wajitahidi, Bob Marley alianza hivi hivi!

Nilistuka sana niipoona hilo Bob!! nilidhani Bob Jr Wa sharobaro records mzee Wa Nyota ya chips mayai! kumbe Bob Marley!
 
Mwanaume mzima eti unaogopa kusumbuliwa na wanawake? Ndo maana skendo za ushoga zinawaandama!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kiki nyingine za kipuuzi kiwango cha lami.... Nani kasema ukimuweka wazi mpenzi wako ndio hutatongozwa tena? Ingekuwa hivi walioko kwenye ndoa wangekuwa salama sana
BTW wanaume hayo mambo huwa hatutangazi ndio maana ni nadra kusikia mwanaume kabakwa na mwanamke... Unadhani hawapo?
 
kapata wa kumlea mwingine maana jamaa ni mario
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…