Fid Q akubali ushauri wa Humble African,kasema anaufanyia kazi.

Fid Q akubali ushauri wa Humble African,kasema anaufanyia kazi.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Baada ya mdau Humble African kuweka hapa uzi
Wakuu!! Njooni hapa tuongee na Fareed kubanda(Fid Q). - JamiiForums

Hatimaye kuna page moja Instagram nayo iliupost na hatimaye kumfikia Fid Q kama alikiwa bado hajapita hapa jukwaani.
kaahidi kufanyia kazi suala.
Live long JF
IMG_20181122_221542_252.JPG
 
Jf ndo konk konk konk master original jf idumu na itambe

Ila tu ushaur wangu naomba ban ipigwe ban Mara moja

LONDON BOY, BLACK ENGLAND
 
Yaani afadhali ya TID teja kuliko huyu Fid Q, ye umwambie misoksi tu kama anataka kucheza kandanda.
 
Fid sijui anakosea wapi aliwai piga live band nyama choma moja daah unahisi mziki upo kweli
 
Back
Top Bottom