Fid Q aumwagia sifa wimbo mpya wa Joh Makini

Ni zile nyimbo za siku hz mpaka uuzoee ndio uupende labda,baada ya kusikilizishwa saana,
 
Ni zile nyimbo za siku hz mpaka uuzoee ndio uupende labda,baada ya kusikilizishwa saana,
Upo kwenye mawazo yangu mkuu....

Bado nausikiliza toka jana...Bado sijapata kitu.
Ila mpaka kesho naamini ntakuwa nishaanza kuupenda.
 
Na siyo fid tu angaliaa hata page ya Jay Moe, Dunga Santuri, Navio wameisfiaa ngoma sana tu
Sasa hao waki isifia ndio inakuwa bora!?, mchizi kapuyanga huo ni ukweli
Hio ngoma angetoa msanii wa kawaida hata wiki 2 kwenye redio isinge fikisha
 
JOH ana vitu vikali, na bora yeye anabebeka, wengine ni kama mawe ya mtoni hambebeki hata kwa crane/greda
 
Sasa hao waki isifia ndio inakuwa bora!?, mchizi kapuyanga huo ni ukweli
Hio ngoma angetoa msanii wa kawaida hata wiki 2 kwenye redio isinge fikisha

mtu kama kanye west hata akiimba a e i o u utaipenda na utakata mauno tu.

sasa Joh Makini ni mwamba ana-fit kwenye kila aina ya mziki, hii ni beat ya dance hall utaipenda tu taratibu na utamwimbia baby bila wewe mwenyewe kupenda kwakuwa hamna namna ingine tena.

na nikivuta waaaya!!
ujue nishajikoki!!
 
Bas kanye angekuwa ndio bes seller au angekuwa ana rokwd ya billboard.
Kila msanii anaweza kutoa nyimbo mbaya na Joh katoa wimbo mbaya labda media zimbebe.
 
Umekuza sana arif, cos sijaona mahali alipousifia huo wimbo. Kuonyesha kwake support ni ukomavu, na ilikuwa issue ya muda tu, cos naona hawa jamaa wana mutual friend in AY.

That chorus still sounds awfully corny and wack. And the video.....dice rolling and what not, scream some sucka emcee vibes. Sucks to criticize my fav rapper, but somebody gotta do it.
 
Hivi ikipgwa way na babu talent ip utasema syo hippop?
 
Sasa hao waki isifia ndio inakuwa bora!?, mchizi kapuyanga huo ni ukweli
Hio ngoma angetoa msanii wa kawaida hata wiki 2 kwenye redio isinge fikisha
Una chuki na Joh sema tu ukweli au wewe ndo young killer fan
Inakuuma sana.
 
Na nikivuta waaaya,

Ujue nimejikoki

[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…