Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na siyo fid tu angaliaa hata page ya Jay Moe, Dunga Santuri, Navio wameisfiaa ngoma sana tuFid q kafanya jambo la maana,
Ila hiyo waya wala si nyimbo kali
Itakuingia taratibu maana babayenu kashakubaliFid q kafanya jambo la maana,
Ila hiyo waya wala si nyimbo kali
Sasa hao waki isifia ndio inakuwa bora!?, mchizi kapuyanga huo ni ukweliNa siyo fid tu angaliaa hata page ya Jay Moe, Dunga Santuri, Navio wameisfiaa ngoma sana tu
Hahaahaaa.... Safi sana.Babaako kakubali why uendelee kubana pumbu?
Sasa hao waki isifia ndio inakuwa bora!?, mchizi kapuyanga huo ni ukweli
Hio ngoma angetoa msanii wa kawaida hata wiki 2 kwenye redio isinge fikisha
Bas kanye angekuwa ndio bes seller au angekuwa ana rokwd ya billboard.mtu kama kanye west hata akiimba a e i o u utaipenda na utakata mauno tu.
sasa Joh Makini ni mwamba ana-fit kwenye kila aina ya mziki, hii ni beat ya dance hall utaipenda tu taratibu na utamwimbia baby bila wewe mwenyewe kupenda kwakuwa hamna namna ingine tena.
na nikivuta waaaya!!
ujue nishajikoki!!
Hujui hata ulicho post...wapi iliposemwa kuwa Joh na Fareed wana bifu au walikuwa na beef?!
Una chuki na Joh sema tu ukweli au wewe ndo young killer fanSasa hao waki isifia ndio inakuwa bora!?, mchizi kapuyanga huo ni ukweli
Hio ngoma angetoa msanii wa kawaida hata wiki 2 kwenye redio isinge fikisha
joh ndo huwa dzain ana sly digs kwa fid,mara ooh mistari ya kwenye vitabu,matokeo yake anatuletea mistar ya ukoko,mbwa kokoFid q ana biff na Joh tangu lini!???
Sina chuki ila pia sio mnafiki kusifia kila kitu tunaita ushabiki maandaziUna chuki na Joh sema tu ukweli au wewe ndo young killer fan
Inakuuma sana.
Na nikivuta waaaya,Umekuza sana arif, cos sijaona mahali alipousifia huo wimbo. Kuonyesha kwake support ni ukomavu, na ilikuwa issue ya muda tu, cos naona hawa jamaa wana mutual friend in AY.
That chorus still sounds awfully corny and wack. And the video.....dice rolling and what not, scream some sucka emcee vibes. Sucks to criticize my fav rapper, but somebody gotta do it.