inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
joh wa 2005-8 alikua vizuri,siku hz tnaona anatutania tu watu wa hiphop,mashair ugoro sana tofaut na umri wakeKasalimu amri. ..joh yupo viZuri nawdays...ingawa hata ngosha yupo Poa
Sijaona uzuri wa hiyo video ukilinganisha na Don't Bother,Perfect Combo but audio lyrics ziko vizuri,maneno yanasikika vizuri na beat inachezeka ndio muziki unaopendwa na watanzania kwa sasaNdiyo maana nime-acknowledge ukomavu wa Fid, which nikiunganisha dots na maoni ya AY(ambaye ni mshkaji wa hawa jamaa wote) kuhusu Joh kuwa rapper bora kwa sasa, naanza kupata picha kamili.
Kimsingi Fid hajasifia kazi ya Joh, ame-support na kuhamasisha watu wakatazame video. Hajatoa maoni yoyote according to screenshot attached above.
Vyovyote iwavyo point ambayo ipo kwa Mara ya Kwanza kwenye historia Fid Q ameisifia kazi iliyofanya na Joh Makini kitu ambacho akijawahi kutokea siku za nyuma.Boy oh boy, kuelewa ni tatizo kubwa sana. Nimesema Fid kasifia au ku-promote KAZI ILIYOFANYIKA KWENYE VIDEO, ambapo credits ni kwa muongozaji(yeyote na wote waliohusika kuongoza, Joh akiwemo pia kama alihusika).
Nilijibu ulipomaanisha Fid kasifia wimbo. Na kuna kujadili na kubishana, jifunze tofauti.
Sijaona uzuri wa hiyo video ukilinganisha na Don't Bother,Perfect Combo but audio lyrics ziko vizuri,maneno yanasikika vizuri na beat inachezeka ndio muziki unaopendwa na watanzania kwa sasa
Kuhusu FID Q kwa sasa amepata pressure sana kwenye muziki wake na ameanza kufuata nyayo za Joh Makini track zake 2 alizotoa karibuni Walk It Off na Roho utagundua anaelekea kulekule alipo Joh na hata AY amemwambia FID Q huwezi kutoboa international kama hatabadilika
Vyovyote iwavyo point ambayo ipo kwa Mara ya Kwanza kwenye historia Fid Q ameisifia kazi iliyofanya na Joh Makini kitu ambacho akijawahi kutokea siku za nyuma.
Haijalishi ni video,audio,mavazi au demu wake.
Mungu? Ungeanza na herufi ndogo basi kama ulimaanisha waungu wa kuchonga.Fid Q ni Mungu wa hiphop ata kama yeye hapendi tumwite hivyo.
Sio kila track anayotoa msanii itafanana na track zake za nyuma msanii anapaswa kuwa flexible kuonyesha ladha tofauti Perfect Combo ni wabongo wachache watailewa na pale Joh alifanya vizuri sana,Wasanii kutotoa album imesababisha mashabiki kupata ladha ya aina mmoja tu.Naamini uliwahi sikiliza album ya Niki Mbishi Sauti ya Jogoo,Don't bother niliielewa mwanzo mwisho, perfect combo sikuielewa wala sikuwa na noma nayo. Hii ya sasa sijaielewa na nina noma nayo sana tu. Ina makosa mengi, sema wabongo ukikosoa kitu, hata kama una hoja, watakuona una chuki. I can point out about a million flaws off that new song.
Fid mara ya mwisho nimemskia kwenye "ielewe mitaa". Anachohitaji ni kuwa aggressive na kuwekeza zaidi kwenye video, ndiyo kasoro yake kwangu. Vingine kuhusu muziki wake ni bab'kubwa.
Nimewaza hivi pia...Fid q kafanya jambo la maana,
Ila hiyo waya wala si nyimbo kali
Kwa copy and paste hadithi za Alfu lela u lela....watoto wa juzi someni hiki kitabuLinapokuja swala la hip-hop Fid ni zaidi ya binadam. Inabidi akubali tu.
Darassa veepeWatu wanalia ngoma mbovu but tangu umeachiwa Joh Makini mdio msanii anajadiliwa kuliko wote hapa JF,tangu mwaka uanze wasanii wafuatao wametoa track
Navy Kenzo
MwanaFa
Bill Nas
God Zilla
Q Chilla
Niki Mbishi
ROMA
Young Killa
Only Joh Makini ndio anatrend hapa JF