Fid Q aumwagia sifa wimbo mpya wa Joh Makini

Fid Q aumwagia sifa wimbo mpya wa Joh Makini

Ndiyo maana nime-acknowledge ukomavu wa Fid, which nikiunganisha dots na maoni ya AY(ambaye ni mshkaji wa hawa jamaa wote) kuhusu Joh kuwa rapper bora kwa sasa, naanza kupata picha kamili.

Kimsingi Fid hajasifia kazi ya Joh, ame-support na kuhamasisha watu wakatazame video. Hajatoa maoni yoyote according to screenshot attached above.
Sijaona uzuri wa hiyo video ukilinganisha na Don't Bother,Perfect Combo but audio lyrics ziko vizuri,maneno yanasikika vizuri na beat inachezeka ndio muziki unaopendwa na watanzania kwa sasa

Kuhusu FID Q kwa sasa amepata pressure sana kwenye muziki wake na ameanza kufuata nyayo za Joh Makini track zake 2 alizotoa karibuni Walk It Off na Roho utagundua anaelekea kulekule alipo Joh na hata AY amemwambia FID Q huwezi kutoboa international kama hatabadilika
 
Boy oh boy, kuelewa ni tatizo kubwa sana. Nimesema Fid kasifia au ku-promote KAZI ILIYOFANYIKA KWENYE VIDEO, ambapo credits ni kwa muongozaji(yeyote na wote waliohusika kuongoza, Joh akiwemo pia kama alihusika).

Nilijibu ulipomaanisha Fid kasifia wimbo. Na kuna kujadili na kubishana, jifunze tofauti.
Vyovyote iwavyo point ambayo ipo kwa Mara ya Kwanza kwenye historia Fid Q ameisifia kazi iliyofanya na Joh Makini kitu ambacho akijawahi kutokea siku za nyuma.

Haijalishi ni video,audio,mavazi au demu wake.
 
Sijaona uzuri wa hiyo video ukilinganisha na Don't Bother,Perfect Combo but audio lyrics ziko vizuri,maneno yanasikika vizuri na beat inachezeka ndio muziki unaopendwa na watanzania kwa sasa

Kuhusu FID Q kwa sasa amepata pressure sana kwenye muziki wake na ameanza kufuata nyayo za Joh Makini track zake 2 alizotoa karibuni Walk It Off na Roho utagundua anaelekea kulekule alipo Joh na hata AY amemwambia FID Q huwezi kutoboa international kama hatabadilika

Don't bother niliielewa mwanzo mwisho, perfect combo sikuielewa wala sikuwa na noma nayo. Hii ya sasa sijaielewa na nina noma nayo sana tu. Ina makosa mengi, sema wabongo ukikosoa kitu, hata kama una hoja, watakuona una chuki. I can point out about a million flaws off that new song.

Fid mara ya mwisho nimemskia kwenye "ielewe mitaa". Anachohitaji ni kuwa aggressive na kuwekeza zaidi kwenye video, ndiyo kasoro yake kwangu. Vingine kuhusu muziki wake ni bab'kubwa.
 
Vyovyote iwavyo point ambayo ipo kwa Mara ya Kwanza kwenye historia Fid Q ameisifia kazi iliyofanya na Joh Makini kitu ambacho akijawahi kutokea siku za nyuma.

Haijalishi ni video,audio,mavazi au demu wake.

Haya Mzaramo.
 
Don't bother niliielewa mwanzo mwisho, perfect combo sikuielewa wala sikuwa na noma nayo. Hii ya sasa sijaielewa na nina noma nayo sana tu. Ina makosa mengi, sema wabongo ukikosoa kitu, hata kama una hoja, watakuona una chuki. I can point out about a million flaws off that new song.

Fid mara ya mwisho nimemskia kwenye "ielewe mitaa". Anachohitaji ni kuwa aggressive na kuwekeza zaidi kwenye video, ndiyo kasoro yake kwangu. Vingine kuhusu muziki wake ni bab'kubwa.
Sio kila track anayotoa msanii itafanana na track zake za nyuma msanii anapaswa kuwa flexible kuonyesha ladha tofauti Perfect Combo ni wabongo wachache watailewa na pale Joh alifanya vizuri sana,Wasanii kutotoa album imesababisha mashabiki kupata ladha ya aina mmoja tu.Naamini uliwahi sikiliza album ya Niki Mbishi Sauti ya Jogoo,

Kuhusu Waya kwa sasa ndio nyimbo zinazopendwa na watanzania

FID kinachomuangusha ni video mbovu na international connection imemshinda now ndio ameanza kujua umuhimu wake
 
Sio kila anaekupigia makofi awe amekukubali no tazama jinsi makofi yanavyopigwa ndipo utajua kuwa anakufagilia kweli au siliba?nadhan fid ni mtu wa tungo tata na jinsi wimbo ulivyo iko haja ya kuona je fid yuko side gani kati ya supporter ama siliba???naomba kuwasilisha
 
Kiukweli mimi ni shabiki wa Fid q na hakuna abishaye kua ngosha ndio kila kitu kwenye mziki wa hip hop .Swali langu unadhani kua licha kubebwa kama mnavyosema nyinyi ,Joh anapokua kidogo anatizamwa kama mshindani au Mc anayemfata Kubanda kiutendaji (kimziki) ni kigezo gani kimetumika ? WAYA NI NYIMBO Nzuri na joh naye ni moja ya watu ambao sio wa mchezo mchezo kwenye hip hop salute kwake pia
 
Watu wanalia ngoma mbovu but tangu umeachiwa Joh Makini mdio msanii anajadiliwa kuliko wote hapa JF,tangu mwaka uanze wasanii wafuatao wametoa track

Navy Kenzo
MwanaFa
Bill Nas
God Zilla
Q Chilla
Niki Mbishi
ROMA
Young Killa
Only Joh Makini ndio anatrend hapa JF
Darassa veepe
 
Back
Top Bottom