Unakazi sana kujua mziki anaofanya farid kubanda ..
Endelea kumsikiliza timbulo!
Bongo Hiphop ni moja ya ngoma kali tatizo la fid hafanyi vi2 kibiashara, hafanyii ngoma zake promo ya kutosha, hajiwek karibu na mashabiki kuona wanachopenda kwa wakati husika! Kifupi anafanya kile kilichowafanya wasanii wengi wa ARUSHA wafe njaa huku wakisifiwa hiphop city!
Fid Q uwezo wako unashuka sana, Fid Q wasasa si Fid Q wa miaka michache iliyopita
Fid Q naheshimu sana uwezo wako wa kuandika japo flow yako si nzuri sana.
Kuhusu kuandika Joh Makini hakwambii kitu lakini flow yako si mbaya sana.
Rudi nyuma angalia ni wapi umekwamba Fid Q, mpaka leo hii umepiga show za fiesta
zisizozidi hata tatu, show kubwa ya Dar hujatia mguu kabisa.
Kidogo watu tumeanza kukusahau, unahitaji kufanya kazi ya ziada ili urudi pale ulipokuwa.
Fid Q rudi zako, enzi zile unaandika mwanza mwanza. Kinyume na hapo tuzo za Kili za 2015 utazisikia bombani.
MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Acha Roho ya kwanini.
hahaha umenifanya nicheke mkuu fid siez mwonea wivu achukue ushauri ananata sana yule mtoto alaf ni mshamba ata ukisikiliza interview zake

eti/ananata sana/eti /mshamba/ kwa ujanja upi ulionao wewe lafa kwa fame gani uliyonayo na talent gani uliyonayo hapa mjini...ila nashtuka may be unajivunia kuwa yag! au akili za division five! ndo za kulaumiwa.
Ahahah mjini kunapoteza wengi dogo kuwa mpole upigwe kota!kweli sekondari zimefunga!we ni mpumbavu tu kama walivyo wengne we unanijua mm adi unilinganishe na huyo mshamba ata kuvaa hajui? Kwa comment yako inadhihirisha we ni mtu wa namna gani mshamba wewe
Ahahah mjini kunapoteza wengi dogo kuwa mpole upigwe kota!kweli sekondari zimefunga!
hahaha umenifanya nicheke mkuu fid siez mwonea wivu achukue ushauri ananata sana yule mtoto alaf ni mshamba ata ukisikiliza interview zake
Inafikia hatua napata wasiwasi na Umri wako.
Fid Q uwezo wako unashuka sana, Fid Q wasasa si Fid Q wa miaka michache iliyopita
Fid Q naheshimu sana uwezo wako wa kuandika japo flow yako si nzuri sana.
Kuhusu kuandika Joh Makini hakwambii kitu lakini flow yako si mbaya sana.
Rudi nyuma angalia ni wapi umekwamba Fid Q, mpaka leo hii umepiga show za fiesta
zisizozidi hata tatu, show kubwa ya Dar hujatia mguu kabisa.
Kidogo watu tumeanza kukusahau, unahitaji kufanya kazi ya ziada ili urudi pale ulipokuwa.
Fid Q rudi zako, enzi zile unaandika mwanza mwanza. Kinyume na hapo tuzo za Kili za 2015 utazisikia bombani.
MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
Huyo ngosha apunguze mapozi sawa anaandika mistari mikali ila ananata sana kiuhalisia.
Ana mwonekano wa hiphop ila moyoni u jux umemtawala. Vinginevyo Weuuuuusiiiiiiii tutazizoa sana hizo tunzo kudadeki
anavaa mawigi na anapaka lipstick"