Fid Q chukua tahadhari, umeshuka sana kimuziki

Fid Q chukua tahadhari, umeshuka sana kimuziki

Bongo Hiphop ni moja ya ngoma kali tatizo la fid hafanyi vi2 kibiashara, hafanyii ngoma zake promo ya kutosha, hajiwek karibu na mashabiki kuona wanachopenda kwa wakati husika! Kifupi anafanya kile kilichowafanya wasanii wengi wa ARUSHA wafe njaa huku wakisifiwa hiphop city!

Bongo flavour mzuri kiasi ila hippop ndio ma queen
 
Fid Q uwezo wako unashuka sana, Fid Q wasasa si Fid Q wa miaka michache iliyopita
Fid Q naheshimu sana uwezo wako wa kuandika japo flow yako si nzuri sana.

Kuhusu kuandika Joh Makini hakwambii kitu lakini flow yako si mbaya sana.

Rudi nyuma angalia ni wapi umekwamba Fid Q, mpaka leo hii umepiga show za fiesta
zisizozidi hata tatu, show kubwa ya Dar hujatia mguu kabisa.

Kidogo watu tumeanza kukusahau, unahitaji kufanya kazi ya ziada ili urudi pale ulipokuwa.

Fid Q rudi zako, enzi zile unaandika mwanza mwanza. Kinyume na hapo tuzo za Kili za 2015 utazisikia bombani.

MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Huyu ndio yupi tena jamani????
 
Last edited by a moderator:
Inakoelekea fid q ataanza kuimba taarabu,weusi wanafanya commercial hip hop kama ya kina j cole na drake yeye anatutungia vitabu,kapotea kabisaa
 
Watu waliozoea kusikiliza bongofleva hamuwezi elewa muziki wa FidQ hata siku moja,anafanya hasa muziki wake huo na hafanyi muziki ili ashinde tuzo japokuwa akishinda still ni faida kwake. Muziki wa Fid utazidi kukaa juu daima na ujumbe wake kwa ujumla tatizo letu watanzania hatupendi kuumiza vichwa kabisa. Mnapenda mishangwe tu,hayo ni mapenzi yenu wala siyapingi ila msitoe maneno ya shombo kwa vitu msivyovielewa hebu eleweni kwanza halafu muwe na ufahamu wa jambo husika.

Adios
 
Fid Q uwezo wako unashuka sana, Fid Q wasasa si Fid Q wa miaka michache iliyopita
Fid Q naheshimu sana uwezo wako wa kuandika japo flow yako si nzuri sana.

Kuhusu kuandika Joh Makini hakwambii kitu lakini flow yako si mbaya sana.

Rudi nyuma angalia ni wapi umekwamba Fid Q, mpaka leo hii umepiga show za fiesta
zisizozidi hata tatu, show kubwa ya Dar hujatia mguu kabisa.

Kidogo watu tumeanza kukusahau, unahitaji kufanya kazi ya ziada ili urudi pale ulipokuwa.

Fid Q rudi zako, enzi zile unaandika mwanza mwanza. Kinyume na hapo tuzo za Kili za 2015 utazisikia bombani.

MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Ujue mnapokuwa mnaandika juu ya jambo Fulani jaribuni kuchunguza kwa kina.wewe Leo hii unataka watanzania waaminini kuwa mziki Wa fid q umeshuka.aah kweli unachekesha,alafu bila aibu unalinganisha eti mziki Wa nyuma kama mwanza mwanza na ngoma zake za sasa.kwa kigezo kipi labda na wapi alikaza na wapi hakukaza?je unajua sababu zilizomfanya abadili aina ya uandishi na flow au umekurupuka.nambie ngoma IPI ya hip hop iliyokuwa inashindanishwa ilikuwa INA ubora kama BONGO HIP HOP ya fid.alafu acha kuamini kuwa msanii mkali ni lazima apige shoo nyingi za fiesta.hii ni hip hop kijana.."itikadi zako zipo kimziki na sio mshiko"nimenukuu,utakuwa ulimwelewa.kiufupi ni kwamba fid ni TANZANIA HIP HOP ICON na sio wasanii mliowazowea
 
Last edited by a moderator:
hahaha umenifanya nicheke mkuu fid siez mwonea wivu achukue ushauri ananata sana yule mtoto alaf ni mshamba ata ukisikiliza interview zake

eti/ananata sana/eti /mshamba/ kwa ujanja upi ulionao wewe lafa kwa fame gani uliyonayo na talent gani uliyonayo hapa mjini...ila nashtuka may be unajivunia kuwa yag! au akili za division five! ndo za kulaumiwa.
 
Kupata tuzo sio ndo mafanikio katila maisha ya msanii.....napenda na nitaendelea kupenda anachofanya fid q pia kuwa nominee kwenye tuzo ni ushindi pia
 
Ata Iggy Azalea alipata tunzo ya msanii bora wa Hip-hop mbele ya Eminem.
 
eti/ananata sana/eti /mshamba/ kwa ujanja upi ulionao wewe lafa kwa fame gani uliyonayo na talent gani uliyonayo hapa mjini...ila nashtuka may be unajivunia kuwa yag! au akili za division five! ndo za kulaumiwa.

we ni mpumbavu tu kama walivyo wengne we unanijua mm adi unilinganishe na huyo mshamba ata kuvaa hajui? Kwa comment yako inadhihirisha we ni mtu wa namna gani mshamba wewe
 
Wasanii wote wanajifanya wapo juu sana,shabiki akicomment kwenye post yake hajibu ila akicomment star mwenzake ndio anamjibu,mashabiki wanaonekana wa maana kipindi cha kupiga kura sitojaribu kumpigia kura msanii yeyote duniani mpaka akili zao zitakapokaa sawa na nitaanzisha kampeni ya ku unlike na kuwa unfollow wote kwenye social media.
 
we ni mpumbavu tu kama walivyo wengne we unanijua mm adi unilinganishe na huyo mshamba ata kuvaa hajui? Kwa comment yako inadhihirisha we ni mtu wa namna gani mshamba wewe
Ahahah mjini kunapoteza wengi dogo kuwa mpole upigwe kota!kweli sekondari zimefunga!
 
hahaha umenifanya nicheke mkuu fid siez mwonea wivu achukue ushauri ananata sana yule mtoto alaf ni mshamba ata ukisikiliza interview zake

Inafikia hatua napata wasiwasi na Umri wako.
 
Fid Q uwezo wako unashuka sana, Fid Q wasasa si Fid Q wa miaka michache iliyopita
Fid Q naheshimu sana uwezo wako wa kuandika japo flow yako si nzuri sana.

Kuhusu kuandika Joh Makini hakwambii kitu lakini flow yako si mbaya sana.

Rudi nyuma angalia ni wapi umekwamba Fid Q, mpaka leo hii umepiga show za fiesta
zisizozidi hata tatu, show kubwa ya Dar hujatia mguu kabisa.

Kidogo watu tumeanza kukusahau, unahitaji kufanya kazi ya ziada ili urudi pale ulipokuwa.

Fid Q rudi zako, enzi zile unaandika mwanza mwanza. Kinyume na hapo tuzo za Kili za 2015 utazisikia bombani.

MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Unachoongea ni kweli Fid Q limebaki jina tu huki kitaa watu hawamsikii kama zamani sawa anatoa ngoma lkn hazikiki flows mbaya huwez hata enjoy zaid yakusikiliza maneno then tupa kule huwez rudia rudia coz sio friendly na masikio. Watu wanataka mziki mzuri flow kali beat kali.. kwakweli mwaka jana walimpa kumpooza kama legend wa hip hop asivunjike moyo ila akiendelea Hv tuzo atazisikia kweny bomba kweli.. anatoa vitu vigumuuu hata haviimbiki kwa stage
 
Last edited by a moderator:
Huyo ngosha apunguze mapozi sawa anaandika mistari mikali ila ananata sana kiuhalisia.

Ana mwonekano wa hiphop ila moyoni u jux umemtawala. Vinginevyo Weuuuuusiiiiiiii tutazizoa sana hizo tunzo kudadeki

Anavaa mawigi na anapaka lipstick"
 
Back
Top Bottom