Fid Q: Hakuna kitu rahisi kwa sasa kama kudata. Kwa haya ya BASATA ni wazi wasanii watadata sana

BASATA chapeni kazi tena kàzi nzuri sana ongezeni iwe milioni 10 kabisa hii ya sasa ndogo
 
asilimia kubwa kati yao wana akili ya kijasiliamwili na sio kijisaliamali (na hii haijalishi ni me au ke)
 
Basata wameweka tozo ndogo saana aisee!!

Wangefanya hata milioni moja kabisa ili wanasanaa wetu wawe upande wa watanzania kipindi tunapowahitaji!!
 
Basata wameweka tozo ndogo saana aisee!!

Wangefanya hata milioni moja kabisa ili wanasanaa wetu wawe upande wa watanzania kipindi tunapowahitaji!!
kwani lini hawajawai kuwa upande wa watanzania?
 
kwani lini hawajawai kuwa upande wa watanzania?
Wanajua wenyewe ni wakati gani huwa wanakuwa kinyume na wananchi!! na ngoma hii wataicheza wenyewe, ninachowaomba BASATA WAONGEZE HII ADA!!
 
Nachoipendea CCM ukiitendea mema huwa haikuangushi. Shigongo hana hamu na hawa jamaa.
 

Kikubwa hawa wasanii wengi wa bongo walikimbia umande, then wajuaji wa kila kitu kwa kuiga na kusikia, yaani hawapo Tayari kukubali ukweli kwamba hawana uelewa wa mambo hivyo waajiri mameneja wenye shule za Biashara na sheria
 
Lakini Steve aliongea la maana sana akasema wazi kabisa kuwa wasanii wanatakiwa kuungana na kuzingatia mambo ya msingi na wana matatizo mengi kuzidi waliyo nayo basata....wasanii tatizo hawana umoja halafu wengi wajauaji sana
Huyo jamaa navyomjua anataka awaunganishe alafu awe kiongozi wao, then kinachofuata ni michango..
Maana jamaa ana alerg na michango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…