Fid Q: Hakuna kitu rahisi kwa sasa kama kudata. Kwa haya ya BASATA ni wazi wasanii watadata sana

Fid Q: Hakuna kitu rahisi kwa sasa kama kudata. Kwa haya ya BASATA ni wazi wasanii watadata sana

Mkuu ukiachaga mambo ya Uccm unakuaga na akili sana....ila ukiingiza tu mambo yako yale ya nyundo na jembe sijui,unapuyanga mnoo😀😀
Mkuu sema kwa kuwa huwa unazichukia hizo rangi ndio maana uwezi ona jema la maana kutoka kwa wenye hizo rangi..... hahahaha buraza...buraza
 
Wao wamekalia ushalobalo tu mama leo nywele ikae hivi mala kesho ikae vile!! yaani taabu kwelikweli..
 
Chama Chao Tuma Kipo Wapi?
Fiesta Mwaka Huu Ipo Kweli?
 
Wanalia nini!?
Maendeleo yana uchungu wake.
Mlivyokuwa mnakula hela za kampeni.
MLIJIULIZA ZILIKUWA ZINATOKA WAPI?
 
Mkuu sema kwa kuwa huwa unazichukia hizo rangi ndio maana uwezi ona jema la maana kutoka kwa wenye hizo rangi..... hahahaha buraza...buraza
Ila tuko pamoja sana kwenye ishu za burudani za Ki WCB😀😀😀😀
 
Basata haijafikia level ya kuvuna toka kwa wasanii ,yenyewe ndo inapaswa iingize hela kwenye sanaa ikue after miaka ya uwekezaji ndo yaje mavuno,fatilia congo nchi ilipeleka wakongo wengi kijifunza ufaransa ikaweka hadi wizara ya muziki leo inavuna kwenye muziki kuliko nigeria na south ukizijumlisha sasa unatak umtoze harmonise jamani basata imejenga vipi uwanja wa kuzalisha kina harmonizer hadi iwavune very hopless
Serikali ya Tanzania ina tabia ya kumkamua ng'ombe maziwa kabla ya kumlisha. Atoe mpaka damu afe.

Si kwenye sanaa tu. Hata kwenye kodi na fees za kuanzisha biashara watu wanakatwa sana hata kabla hawajaanza biashara.
 
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime

ugomvi wa maccm na wasanii mm sijishugulish nao

Na nikipata chance ya kukutana na basata ntawakumbusha kodi za kwenye Youtube

wananchi tunaliaga sana lkn kwenye kampeni hua wanatugeuka
 
Hawa wasanii wanastahili haya yanayo endelea,wasitafute huruma ya jamii, stahiki yao hakika ndiyo hii.
 
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime

ugomvi wa maccm na wasanii mm sijishugulish nao

Na nikipata chance ya kukutana na basata ntawakumbusha kodi za kwenye Youtube

wananchi tunaliaga sana lkn kwenye kampeni hua wanatugeuka
Kwani hawatakiwi kuwa huru kuangalia wa kuwa support?
 
Kati ya wasanii ambao nawafatilia sana katika kila neno analo tamka kwenye muziki wake basi ni Msanii Fid Q.... maana kila atamkalo kwenye wimbo lina maana kama si leo basi ni kesho litakuwa lina maana zaidi....

Kwenye wimbo wa AY unaoitwa Microphone kuna msatari Fid q anasema"NDOTO haziwi mpaka USINGIZI ukiukata/ na hakuna KITU RAHISI kupata SIKU HIZI kama KUDATA••• "
Huu mstari unaongea mengi sana kuhusu sanaa na wasanii wenzie na ni ukweli usiopingika kabisa kuwa wasanii wetu ambacho cha haraka kwa sasa wanaweza pata ni kudata kabisa ndio maana unaona kila leo twasikia habari za wasanii kula madawa ya kulevya.

Sanaa imekosa muongozo kabisa si filamu wala muziki...wasanii wetu hawapati hela kama wanavyo jaribu kutuonesha kwenye mitandao ya kijamii na ukitaka kufahamu uhalisia wa wasanii wetu ni wakati wakikutwa na janga....mfano angalia kwa mzee majuto...

Kwa sanaa ilivyo na inavyo endeshwa na Basata kupitia Harrison Mwakyembe ni wazi kabisa wasanii wataendelea kuchanganyikiwa kwakuwa Basata chini ya Mwakyembe wameshindwa kuwasaidia kabisa ndio maana hadi sasa sintofahamu kuhusu kanuni mpya za Basata kuhusu sanaa na kila aliyesoma zile kanuni ni wazi kabisa atakubaliana nami kuwa kwa sasa wasanii kitu watakacho pata kwa urahisi ni kudata na si hela kwakuwa kwa zile kanuni hakuna deal watapata..

Kitu wanacho hitajika kukifanya kwa sasa hawa wasanii kwa sasa ni kuwa na umoja na kuwa na mambo ya kusimamia kwa pamoja lakini kinyume na hapo wataishia kudata...

Wasalaam
Hadi wawe na akili hizo!!acha waisome namba kwani mambo yanayoendelea nchini huwa wanaona hayawahusu!!
 
Back
Top Bottom