Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
- Thread starter
- #21
Mkuu sema kwa kuwa huwa unazichukia hizo rangi ndio maana uwezi ona jema la maana kutoka kwa wenye hizo rangi..... hahahaha buraza...burazaMkuu ukiachaga mambo ya Uccm unakuaga na akili sana....ila ukiingiza tu mambo yako yale ya nyundo na jembe sijui,unapuyanga mnoo😀😀