Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Leo Agosti 13 ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Rapa maarufu Fareed Kubanda, anayejulikana kama Fid Q akiwa amefanikiwa kutoa albamu kadhaa ikiwemo Propaganda, Roho, Kitaaolojia, na Mbinguni.
Machi 16, 2020, akizungumza kupitia kipindi cha Salama Na Fid, kilichokuwa kikiwaendeshwa na Salama Jabir, Fid Q aliwakumbusha watu umuhimu wa kuelewa kampeni na maelezo ambayo wanayapokea kutoka kwa wanaotarajiwa kuwa viongozi wao, akisema; "Nafikiri ni muda sasa umefika wa watu kuwa wanasikiliza vizuri hizi kampeni zinavyofanywa na maelezo ambayo yanatoka ili waweze kujua wanajihusisha na kitu gani."