Fid Q nani kakuloga? Umeanza kurithi ujinga na Chuki za Ali Kiba dhidi ya wasanii wenzake! Walichokifanya msibani ni kitendo cha kijinga na kishamba!

Mkuu unajua kwa nn kuna watu wamekuita bogus ..
Jibu ni kua, umefunika main theme alaf extra plots ndo umeipa nafasi,how?
Upumbavu wa show off msibani wcb imekua ni km sifa siku hizi,possible hautaelewa wala kukerekwa but ni utoto na 'too shallow' i guess ni sababu ya ka na mkwanja bila elimu au makuzi,anyway na wewe hili ukalifunika,ukawachagua wale waliowahi msibani bila showoff ukawabatiza 'wamekimbia',
Possibke kweli walimkwepa huyo dogo ,hata mimi ujinga hua naukwepa kwa speeed ya 120[emoji41]
 
Mleta mada ni mwehu. Badala ya kukosoa huyo msafi mwenzako kwenda msibani na bodigadi tena na marangi rangi kichwani huku kavaa suti ya disco. Unaleta kelele za fid sijui kiba. Huo ni wenu.
Exactly this is what i was saying,mleta mada kafunika bigger picture kwa small plots
 
Kumbe mnaendaga misibani kuwashangaa wasanii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Harmonize ni kama kituko vile,sijui kama na nyie huwa mnamuona hivyo. Hata hao waliokuwa hapo msibani walimuona kama kituko hivi.

Nawaunga mkono Alikiba na Kubanda, hiyo ni moja ya hali ya kuonyesha kutokuunga mkono upumbavu katika misiba.

Unakuja msibani kwa kuchelewa, una walinzi(sijui ni walinzi au ni vituko maana hata watazamaji walikuwa wanacheka)una kundi kuubwa ili kutafuta kuonekana. Wewe ni kijana wa kiislamu wenzako wamevaa mavazi ya kuendana na shughuli husika wewe umevaa kisuti na ulivyo mfupi basi umekuwa kituko zaidi. Kichwani sijui umeweka uchafu gani,ungeweza pia kuvaa kofia.

Kiufupi kijana alifanya jambo la kipumbavu na ilikuwa busara sana kwa kaka zake kumuachia jukwaa afanye maonyesho yake ya kipumbavu kuliko kumpa ukweli wake pale maana ingezua taharuki.

Akili za mleta nada zinajulikana vyema na hakuna mtu anaweza kumshangaa.
 

Harmonize nae kaondoka WCB chanzo ni ali kiba na fid q??
halafu unazungumza haujaweka any evidence umeamua tu kuongea

sawa na leo niseme Ruta ni mchawi

wewe ndio una chuki na hao
 
wasafi na mameneja wao walimtukana Fidq na wasanii wengine kisa wameenda kufanya show Fiesta badala yakufanya Wasafi festival mtwara mpaka sasa kuna mataka ya wasanii kipindi Ruge yuko mahututi,diamond aligawa wasanii wasiende kufanyakazi na clouds bali waungane nao katika show zao Wasafi ndio maana kuna wapiga show wa wasafi na waclouds
 
Amewaiga
 
Ila Harmo ana mbwembwe, ila mim kanifurahisha, ujue mziki wa bongo unaitaji attention
 
Yaani Nimeshangaa jamaa kaingia msibani kama ana kwenda kufanya show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…