Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,142
Siyo chuki mkuu, mtu anapopuyanga lazima umchane, isiwe kwa sababu unampenda mtu basi hata akifanya mambo ya hovyo unapiga makofi, huo sasa umaandazi. Na haimaanishi ukimkosoa mtu unamchukia!Haha wewe jamaa bhana sema ukweli unajua nn kitatokea ila ukweli umeamua kuukalia kisa chuki....
Samahani mkuu, kwani alikufa?Wasalaam wana jamvi!
Kama mnavyojua kuwa Alikiba ni mmoja wa wasanii wenye kibri na chuki ambazo zimejificha lakini kama utakuwa una mfatilia mwenendo wake kwenye sanaa utagundua kuwa Alikiba ni mtu mwenye kibri ,majivuno na chuki zisizo za msingi!
Alikiba amekuwa na tabia ya kutumia matukio yanayo kutanisha wasanii wenzake kuendeleza chuki na kibri dhidi ya wasanii wenzie.,....ni kawaida ya Alikiba kutotoa mikono kwa baadhi ya wasanii wenzie hasa wanaotoka wasafi hata wakilazimisha kumsalimu huwa hakubali....
Bado najiuliza hivi Alikiba anaumwa nini?
Lakini hii tabia ya chuki na kibri amesha anza kuwarithisha wasanii wenzie hasa huyu ndugu “Farid Kubanda” tena chuki dhidi ya wasanii wa WCB
Jana kwenye tukio la kumuaga ndugu Mbalamwezi kulitokea tukio ambalo limesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii...
Msanii Harmonize alikwenda msibani na alipofika alianza kuwapa mikono wasanii wenzie na baadhi ya watu walio kuwepo,alipokuwa anaendelea kutoa mikono kabla hajawafikia watukufu Fid q na Alikiba walinyanyuka gafla na kupeana ishara ya kuondoka kiasi kwamba ikazua sintofahamu na watu kuanza kushangaa yani mtu anataka kuwapa mkono wa Pole mnamkimbia ina wasaidia nini?
Fid q na Alikiba nani aliye waroga?
Najua shida ya watu ni jinsi wasanii wa WCB walivyo na walinzi ...Lakini tujiulize ni kweli wasanii wetu hawahitaji walinzi? Na ni kwanini tuchukie watu wakifanikiwa?
Hivi msanii Mbalamwezi angelikuwa na walinzi pengine si tungelijua kilichompata au kisingempata kilicho mpata?
Hivi Kwanini wasanii ndio wanachukia wasanii wenzao? Kwani msanii kufanikiwa ni dhambi? Wasanii wa WCB hawapaswi kwenda misibani kwakuwa wana walinzi au vyombo vya habari vitawafata?
Kwanini hatutaki kukubali kuwa kuna wasanii lazima wafatwe na vyombo vya habari na lazima wawe na walinzi kwakuwa ni wakubwa na hatuwezi kuzuia?
Fid q na Alikiba na kawaroga?
Kuna watu tangu alipoimba kusifia chama tawala basi wanamuona kama ni wa kwao hatakiwi kabisa kuguswa! Kuna watu ni wanafiki sana, critics ndizo zinazomjenga mtu badala ya kusifia tu kila kitu na kutetea hata makosa! SMH!
Sioni tatizo lolote kwa msanii yoyote hapo wala simlaumu harmonize ulinzi ni muhimu kwa msanii kama harmonize pia inasaidia kulinda brand yako nashauri tu wasanii hao wa wcb wangekuwa wanatuma wawakilishi tu hasa hiyo misiba ya mtaani huko
kwn harmonize ni wa wcb? unachelewea wapiWasalaam wana jamvi!
Kama mnavyojua kuwa Alikiba ni mmoja wa wasanii wenye kibri na chuki ambazo zimejificha lakini kama utakuwa una mfatilia mwenendo wake kwenye sanaa utagundua kuwa Alikiba ni mtu mwenye kibri ,majivuno na chuki zisizo za msingi!
Alikiba amekuwa na tabia ya kutumia matukio yanayo kutanisha wasanii wenzake kuendeleza chuki na kibri dhidi ya wasanii wenzie.,....ni kawaida ya Alikiba kutotoa mikono kwa baadhi ya wasanii wenzie hasa wanaotoka wasafi hata wakilazimisha kumsalimu huwa hakubali....
Bado najiuliza hivi Alikiba anaumwa nini?
Lakini hii tabia ya chuki na kibri amesha anza kuwarithisha wasanii wenzie hasa huyu ndugu “Farid Kubanda” tena chuki dhidi ya wasanii wa WCB
Jana kwenye tukio la kumuaga ndugu Mbalamwezi kulitokea tukio ambalo limesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii...
Msanii Harmonize alikwenda msibani na alipofika alianza kuwapa mikono wasanii wenzie na baadhi ya watu walio kuwepo,alipokuwa anaendelea kutoa mikono kabla hajawafikia watukufu Fid q na Alikiba walinyanyuka gafla na kupeana ishara ya kuondoka kiasi kwamba ikazua sintofahamu na watu kuanza kushangaa yani mtu anataka kuwapa mkono wa Pole mnamkimbia ina wasaidia nini?
Fid q na Alikiba nani aliye waroga?
Najua shida ya watu ni jinsi wasanii wa WCB walivyo na walinzi ...Lakini tujiulize ni kweli wasanii wetu hawahitaji walinzi? Na ni kwanini tuchukie watu wakifanikiwa?
Hivi msanii Mbalamwezi angelikuwa na walinzi pengine si tungelijua kilichompata au kisingempata kilicho mpata?
Hivi Kwanini wasanii ndio wanachukia wasanii wenzao? Kwani msanii kufanikiwa ni dhambi? Wasanii wa WCB hawapaswi kwenda misibani kwakuwa wana walinzi au vyombo vya habari vitawafata?
Kwanini hatutaki kukubali kuwa kuna wasanii lazima wafatwe na vyombo vya habari na lazima wawe na walinzi kwakuwa ni wakubwa na hatuwezi kuzuia?
Fid q na Alikiba na kawaroga?
Man, tukiachana na suala la msibani, kwa celebrity ulinzi isn't all about kulindwa ili usiuawe bali kulindwa hata dhidi ya mashabiki wanaoweza kukuvamia kwa shangwe any time na kuvuruga kila kitu kama vile kama vile ratiba n.k!! Kwahiyo ma-bodyguard kwa celebrities ni kama watengeneza njia kwa msanii husika! Mchukulie mtu kama Diamond kwa mfano, akifika mahali lazima ataja shazi! Hawa wanaojaza shazi sio kwamba wanataka kumdhuru bali kumuona tu, na ikiwezekana hata wampe mkono! Kwahiyo ni lazima wawepo wa ku-maintain order!Kwa hiyo walinzi ndiyo wanazuia usiuawe? Na wale marais wote wa Marekani wakati wanauawa nao hawakuwa na walinzi? Na wote wasio na walinzi wanauawa?
Loosers!Fid q na Alikiba na kawaroga?
Kwani ukiandika maneno vizuri bando huwa linawahi kuisha?kibongo bongo ukifanikiwa utachukiwa na ulowazd bila sabab xa mi hua najiulz je wahusika wanahc chuk itapunguz rizk ya unaemchukia...?, tujifunz kuwapenda w2 ili 2barikiw nasi
HahahahaAlikiba ana Wivu sema ndio hivyo hapendi watu wajue maana mambo yake kimya kimya....Si umeona alivyokuwa anaondoka ana mabodigadi kibao sema hataki watu wawaone.