Fid Q naye awachana Bongo movie

Fid Q naye awachana Bongo movie

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Amesema wasanii hao wanatoa movie nyingi ndani ya muda mfupi kinachopelekea zikose Quality

 
Mlela atamualuka wakachapane makonde,hataki sport sport na Bongo Movie
 
Nawaonea huruma sana bongo movie yaani kila mtu anawachana wao tu
 
Ila alichokiongea fid q leo ni cha kwel sio movie 10 zizinduliwe ndan ya mwez mmoja mayokeo yake tutasimuliwa na mahousegal tu muvi zingine kwenye hizo kumi mtu unajikuta umetizama mbili tuö
 
Back
Top Bottom