Fid q ndo msanii bora wa hip hope Tanzania

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
baada yakufanya analysis kwa muda mrefu sahivi nampitisha fid q kama msanii bora wa hip hope Tanzania

Fid quote:
Sitaki huko mbele ibaki MISELE au MAJUTO au MILUPO kuwa tele.. YABAKI MADUSKO MFUKO WA MAFAO/ kuna MAISHA baada ya #GROUPIELOVE
 
Unataka kusema Fid Q ni zaidi ya Young D??
 
Tanzania hakuna msanii bora wa hip hop

Wote wakawaida sana
 
Ten best rappers of all time in Tz
10.Young Killer
9.Afande Sele
8.Nikki Mbishi
7.Joh Makini
6.Ngwair
5.Mwana FA
4.Ay
3.Sugu
2.Fid Q
1.Proffesa Jay

Huo ni mtazamo wangu binafsi,Kuna vigezo nilivyovizingatia.Kama utunzi wa lyrics,Ufundi wa kufokafoka,ushawishi na mafanikio.
 
Kuna mtu anaitwa Nash Mc, yuko vizuri sana, ana album zaidi ya tatu sasa, mwingine ni Dizasta Vina, Fid-Q na wengine wengi.
 
baada yakufanya analysis kwa muda mrefu sahivi nampitisha fid q kama msanii bora wa hip hope Tanzania

Fid quote:
Sitaki huko mbele ibaki MISELE au MAJUTO au MILUPO kuwa tele.. YABAKI MADUSKO MFUKO WA MAFAO/ kuna MAISHA baada ya #GROUPIELOVE
Kwako au?
Fid q aint got nothing to Prof Jay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…