barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nitajie ngoma kali ya Fid Q ambayo kaimba cha maana!prof jay si anasimulia tu hadithi juu ya midundo ya hiphop..hana ufundi hana utundu sio mbunifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie ngoma kali ya Fid Q ambayo kaimba cha maana!prof jay si anasimulia tu hadithi juu ya midundo ya hiphop..hana ufundi hana utundu sio mbunifu
propaganda,usinikubali haraka,acha niseme,mwanangu,agosti 13 nkNitajie ngoma kali ya Fid Q ambayo kaimba cha maana!
Ahaahaaaha kwel kaka coz hiphop ya kweli iko kwenye handakiVipaji vipo underground,media yako majina kaka
Usichanganye nyimbo kali na nyimbo unazozipenda!propaganda,usinikubali haraka,acha niseme,mwanangu,agosti 13 nk
So Prof J mziki ndo umemlipa zaidi ya Wote???Ubora wa msanii wenzetu huwa wanaangalia mapato aliyoingiza kutokana na mziki wake kwangu mimi hiyo nafasi nampa profesa j
Upande wa hiphop bongo prof j kafanya mapinduzi makubwa kwenye jamii nakuwabadilisha mitazamo ya wazee wengi wa kipindi kile kuwa mziki sio uhuni pia jamaa ana aseti za kutosha kuliko wanahiphop wote bongoSo Prof J mziki ndo umemlipa zaidi ya Wote???
kuna tatizo sehemu kichwani mwako broUsichanganye nyimbo kali na nyimbo unazozipenda!
Watu kamia kina Saigon hawajahit ila ndio wakali wa hizi kitu. Fid Q ktk hizo nyimbo umetaja kabebwa na biti.
baada yakufanya analysis kwa muda mrefu sahivi nampitisha fid q kama msanii bora wa hip hope Tanzania
Fid quote:
Sitaki huko mbele ibaki MISELE au MAJUTO au MILUPO kuwa tele.. YABAKI MADUSKO MFUKO WA MAFAO/ kuna MAISHA baada ya #GROUPIELOVE
List yangu
1.nikki mbishi
2.kad go
3.ghetto AMBASSADOR
4.songa
5.stereo
6.ONE
7.DISASTA
8.FID Q
9.Mansuli
10.p the mc
Nitajie ngoma kali ya Fid Q ambayo kaimba cha maana!