Fid Q ni MC bora wa muda wote

Fid Q ni MC bora wa muda wote

Rubajirwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
472
Reaction score
228
Tangu nimeanza kusikiliza Emcee kutoka Mwanza Farid Kubanda hajawahi kunichosha kumsikiliza kutokana na uwezo wake wa hali ya juu katika uchenguaji (kufoka)
Tukija kwenye swala la uandishi jamaa ana kipaji cha ajabu kiasi kwamba ukisikia verse yake namna anavyoitumia lugha kutengeneza vina hakuna Emcee mwingine anaweza kuwa na uwezo ule, najivunia kuwa kati ya watu waliouona na kuushuhudia uwezo Fid Q.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitoke subiri hapo hapo team zije mana huyu nae kuna ugomvi kanunua
 
Tangu nimeanza kusikiliza Emcee kutoka Mwanza Farid Kubanda hajawahi kunichosha kumsikiliza kutokana na uwezo wake wa hali ya juu katika uchenguaji (kufoka)
Tukija kwenye swala la uandishi jamaa ana kipaji cha ajabu kiasi kwamba ukisikia verse yake namna anavyoitumia lugha kutengeneza vina hakuna Emcee mwingine anaweza kuwa na uwezo ule, najivunia kuwa kati ya watu waliouona na kuushuhudia uwezo Fid Q.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fid hajui freestyle.

Fid mnafiki yan whack.

Ni better ukasema Emcee bora wa mda wote mwanza sio Tz.

Fid tapeli refer kipindi chake cha ujamaa hip hop Darasa alikianzisha kwa malengo ya kuibia wale madogo misitari

Ni hayo tu mkuu
 
Ninja, u nailed it.

Jamaa anatuaminisha anafanya harakati ila kiukweli mnafiki sana, na tapeli pia...kawaibia sana wale madogo afu kawadamp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo jamma mm hakuna kbsa mnafiki sana saivi anatesa na misitari ya masogo tu
Ha ha ha, kuna mwana alikuwa ananiambia nikawa siamini, ila i realised myself.
Ni vile tu wasanii wenzake wanamuheshimu, ila huyu jamaa hawezi simama mbele ya Mbishi au one, kuanzia uandishi mpaka flow.
Mi ananiboa sana unafiki wake aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha, kuna mwana alikuwa ananiambia nikawa siamini, ila i realised myself.
Ni vile tu wasanii wenzake wanamuheshimu, ila huyu jamaa hawezi simama mbele ya Mbishi au one, kuanzia uandishi mpaka flow.
Mi ananiboa sana unafiki wake aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure huko mbali sana mchizi hamuwezi hata stereo
 
Unakuwa hujawai kumskiza "One the incredible" ila kama umewahi usingesema ulichosema

Sent using Jamii Forums mobile app
one nimeanza kumsikiliza zamani sana, kabla hata hajatoa his first track "incredible", kabla hajaingia M-Lab (ushirikiano wa lunduno na illmatix), kabla ya hii Tamaduni music,..sasa sijui ulitaka kusemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fid hajui freestyle.

Fid mnafiki yan whack.

Ni better ukasema Emcee bora wa mda wote mwanza sio Tz.

Fid tapeli refer kipindi chake cha ujamaa hip hop Darasa alikianzisha kwa malengo ya kuibia wale madogo misitari

Ni hayo tu mkuu
Kaka umemaliza.
kama now yupo bega kweli na yule dogo maarifa na yy soon atalalamika kaibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kuwa msanii bora wa muda wote wakati mitindo huru hawezi kidogo apotezwe na godzilla kwenye friday night live wiki iliyopita.
 
Ha ha ha, kuna mwana alikuwa ananiambia nikawa siamini, ila i realised myself.
Ni vile tu wasanii wenzake wanamuheshimu, ila huyu jamaa hawezi simama mbele ya Mbishi au one, kuanzia uandishi mpaka flow.
Mi ananiboa sana unafiki wake aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamaa chenga aende tamaduni music kama hajaumbuka hamna kitu fid sema heshima tu msanii hawezi kubato msanii gan huyo nawakubali sna nik mbish,godzilla,songa one incredible vina mwanzo kati mwisho
 
Hawezi kuwa msanii bora wa muda wote wakati mitindo huru hawezi kidogo apotezwe na godzilla kwenye friday night live wiki iliyopita.
Nimekuelewa SNA freestyle ni mambo ya wachache sna hii ni kwa wale maemcee wenye uwezo wa kufikiri fasta fata lkn km ubongo unloading slow kamwe huwez kufreestyle afu kunadogo wana mwita haidary scoda ni moto wa kuotea mbali kweny hii tasnia y freestyle aliwakimbiza emcee kiba pale East Africa radio planet bongo.

Huyo Haidary scoda alikuwa mshikaji wangu wa kitaa enzi hizo alikuwa anapiga free style hatari yaani kila alichokiona mbele yake alikitungia mistari mf gari,nyumba,demu na alikuwa kila beat aliyoisikia ilikuwa lazima atambae nayo umenikumbusha mbali moja ya mstari wake aliokuwa anaupenda kuutumia ni mi ndo haidary spidi kubwa kama ferari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom