Rubajirwa
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 472
- 228
Tangu nimeanza kusikiliza Emcee kutoka Mwanza Farid Kubanda hajawahi kunichosha kumsikiliza kutokana na uwezo wake wa hali ya juu katika uchenguaji (kufoka)
Tukija kwenye swala la uandishi jamaa ana kipaji cha ajabu kiasi kwamba ukisikia verse yake namna anavyoitumia lugha kutengeneza vina hakuna Emcee mwingine anaweza kuwa na uwezo ule, najivunia kuwa kati ya watu waliouona na kuushuhudia uwezo Fid Q.
Sent using Jamii Forums mobile app