FID Q ni mfalme?

binadamu huwa,wanashangaza sana..wao wanapima ubora,wa mtu kisa alianza lini yani mfano sugu alianza muzikii miaka ya 90 akitokea mtu kaanza muziki miaka ya 2008 lkn ni mkali hawez kupewa credit zake kisa kaanza 2005.........leo wakina sugu dol soul,diplomtic wanaonekana bora lakini ukifatilia nyimbo zao hakuna wanachomfikia fidQ
 



ongea Wewe!! eti hadi mabaga Fresh!!
 
ni shidah but siku za tuzo wanapokea weusi kama kawa..
 
Huyu Ngosha ni shoka saana! Hata salama mtata akifika hapa huwa anakiri.

Mpaka kwenye agosti kumi na tatu akaweka intro " farheeeed kubanda alizaliwa august 13 katika hospitali ya Bugando jijini mwanza...kwa vile mtoto kwa mama hakui alilazimika kulelelewa na............hakujua hakujua, huyu hapa!!
 
"Mimi ni MFALME nitaefuata baada ya Selemani" Fid q
 
Fid ni Mfalme wa hip hop bongo

Unaposema Fid ni mkali nakuamini Wewe ni mkweli,naamini unaona vizuri na Nina amini pia una akili.

Kenge wanachafua maji wana kikiji washindwe kuoga,waaminio nao ni wajinga!!

wamekubali kuwa nguruwe halafu wanataka mabawa,wao ni wa nchi kavu hawaendi angani wamekubali majaliwa!!

Fa ft prof.jay n sugu.
 
I want my art to be my legacy kabla sijaretire , waanze nigwaya hao enemies!! ni hayo tu!!


Bifu huletwa na wivu,na wivu sio hip hop, MCs anayetaka bifu amlete maza ake kwa strip club!!
 
Fid q ni baba lao, ukituliza akili utamuelewa vingenevyo unapita kapa.., ukibisha we mchawi.
 
REALLY,Fid Q ni mfalme katika gemu ya Hip Hop Bongo anajua huyu jamaa,ww 2letee hadi mabaga fresh ambao hata leo ukiwaingiza studio hawawezi ni tatizo pia.
 
Msanii bora ni yule anayeimprove...mwanzoni alikua wale wale wa ku rap misamiati (mwingine stamina)..ila kwa hili goma lake jipya..du, saluti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…