Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Msanii Fid Q amehabarisha kuwa kila mtu amefurahi kwa yeye kushinda Tuzo ya Mwana Hip Hop Bora wa mwaka , amesema hiyo inajidhihirishahatakwenye Social Media kila mtu anasifia na kukubali ushindi wake. Amasema amebaniwa miaka mingi hiyo tuzo na hatimae ameipata.
Swali:
Swali:
[*=left]Je huko Nyuma ni Kweli watu walikuwa wanabaniwa Tuzo ?
[*=left]Je Utaratibu Mpya wa Kill Awards kupata washindi ni wa Uwazi zaidi ?
