Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ndio maana Jide anakwambia tuzo halisi za miziki kwa Tanzania bado hazijaanza..
Aanzishe yeye basi hizi zi zilianzishwa na mwwnamuziki mwenzie Dandu R. I. P naye aje na tuzo halisi asiishie tu kuongea.
Nakua wa kwanza kucomplain kwanini yeye na sio Jo Makini
Sababu John Makini haimbi hip hop na ni dhambi kumfanya kuwa msanii bora wa hip-hop,tunzo imekwenda pahala husika
qn of sheba, mimi ni mshabiki wa jide tena sana lakini nimegundua jide ana tatizo kubwa ngoja niendelee kufanya utafiti nitamtumia salamu hivi karibuni na dawa ya tatizo tunayo sisi mashabiki wake. Ameanza kunikera na nina anza kujuta kumpigia kura.
Sababu John Makini haimbi hip hop na ni dhambi kumfanya kuwa msanii bora wa hip-hop,tunzo imekwenda pahala husika
Ukweli lazima usemwe amezidi deko.Hata mimi pia huwa napenda sana nyimbo zake na twitter huwa nachat nae ila sasa hawa ndugu ukiwaambia ukweli watakuona we ni mamluki umetumwa na clouds ila ukweli kuna some point anakosea... Ni mlalamishi mno muda wote anaona anaonewa yeye at the same point anajiona yeye ni mrs Right hapo tu ndo anaponikera.
Sababu John Makini haimbi hip hop na ni dhambi kumfanya kuwa msanii bora wa hip-hop,tunzo imekwenda pahala husika
Napenda sana hip hop, ila nyimbo za FidQ mara nyingi sizielawagi.
Mkuu sijakuelewa naomba unifafanulia kwa hatua, hapo naona kama umechanganya hivi.!!!Mmh ila Ney anaeleweka mwehsasa kama nyimbo za fid q hazieleweki za pina zinaelewekabado utasema ney naye anaimba hiphop na shoga ake kimbunga.
Mkuu sijakuelewa naomba unifafanulia kwa hatua, hapo naona kama umechanganya hivi.!!!
Mkuu nimekukubali unaijua hip hop,Joh Makini haimbi hip hop ana rap tu.
Nakua wa kwanza kucomplain kwanini yeye na sio Jo Makini
Naomba unipe somo kidogo. FidQ kawa msanii bora hiphop wa mwaka 2013/2014 kwa wimbo wake wa "i am a professional", au sio.. Lakini huu wimbo mbona sio wa huu mwaka, infact niwa kitambo kidogo?
Au mimi ndo sielewi mambo haya? Cc Money Stunna