Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,302 Reaction score 7,815 Aug 25, 2017 #181 barafuyamoto said: Hamna kosa, ni kila mtu anatoa comment kutokana na mtazamo wake! Click to expand... Hapo sawa Maana sijaona ubaya MTU kuweka wazi mahusiano yake kama wengi tufanyavyo invest what you are willing to lose
barafuyamoto said: Hamna kosa, ni kila mtu anatoa comment kutokana na mtazamo wake! Click to expand... Hapo sawa Maana sijaona ubaya MTU kuweka wazi mahusiano yake kama wengi tufanyavyo invest what you are willing to lose
mnyonge wa hali ya chini JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 920 Reaction score 1,148 Aug 25, 2017 #182 Kwani yeye ile mistari ya Domo hakuisikiliza before!? Kama aliisikiliza kwanini aliruhusu iendelee kuwepo!? Nadhani anajaribu kujiosha. Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yeye ile mistari ya Domo hakuisikiliza before!? Kama aliisikiliza kwanini aliruhusu iendelee kuwepo!? Nadhani anajaribu kujiosha. Sent using Jamii Forums mobile app
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,654 Reaction score 8,564 Aug 26, 2017 #183 Boya Tu Huyo Kuanzia Leo Nipo Kwa Joah Makini