Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Msanii wa Hip Hop Fid Q amedai msanii Omy Dimpoz amefanya jambo la hovyo sana kiasi kwamba hadi sasa haupendi wimbo wake wa fresh
Ommy Dimpoz alitupia picha akiwa na mama Diamond na kuandika maneno ya kumdhalilisha
kitu ambacho fid Q hakutegemea kufika huko kwa kuwa muziki ni burudani na msanii kumdiss mwingine kupitia muziki kunachangamsha game ila sio kutukana wazazi

Kiki kwa kipikipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo nasema mpuuz kwa sasa kwanin alishindwa kumshaur mond ishu ya kumtukana mwenzie kwa dis song yake ile huwez kuita mwenzio shoga afu utalajie akujibu kistarabu ommy kafanya sahihi tu .(kumbuka hata mama wa ommy kadhalilishwa kwa mwanaye kuitwa shoga)
Kwani omary sio punga?? Acha kutetea upuuzi

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
Hapa nagundua kumbe akifanya flan fresh lkn flan sio fresh,ufike hatua watu wajitambue shame on fid,ni mjinga ndo ataamini we uliskilizia huo wimbo kwenye radio,na sio studio au home,je matusi yaliyopo kwenye wimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukianzisha vita usinichagulie silaha!
Domo angejibu kwa kumtukania dimpoz kwa mama ake nahisi insta pangechafuka watu tunashangilia ujinga kutaniana kupo mbona kiba alimjib domo kwa kumuita malikia wa nguvu watu hawajamaind lakini unahisi ni kw nini ommy kaleta mtafaruku kw sababu kamhusisha mtu aziyehusika yeye angedili na domo personally siyo kuingiza wazaz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nagundua kumbe akifanya flan fresh lkn flan sio fresh,ufike hatua watu wajitambue shame on fid,ni mjinga ndo ataamini we uliskilizia huo wimbo kwenye radio,na sio studio au home,je matusi yaliyopo kwenye wimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye fresh remix kuna mzaz wa mtu katukanwa au kufedheheshwa diss zipo kwnye mziki hata mbele wanadisiana lakin hutoona kajibu kwa kuingiza wazaz. Domo siyo mtu wa kwanza kudisi msanii mwenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nimemchukia sana hata nyimbo zake zote nimefuta za omy dimpoz
Nimewaambia na wanangu na familia yangu yote kumchukia huyu kijana .ukimdhalilisha mama mmoja unadhalilisha wamama wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu fid ndo yule alosema media zinasuprt beef wanadai zinakuz mziki na akasema hawaamin ktk kumpatanisha mond na kiba wanaamin ktk kumshusha mmoj ili mmoja awe deal. Tukajua jamaa anapenda aman sana leo kisa wasaf kumuomba wafany nymbo anajishushia heshm aloweka miaka kibao kwel njaa haina adabu. Akitukana mond ni sawa sio tusi akitukana mwngn kinawauma mbn mond kwny all the way up aliwadis kin kiba akamdis hadi blue wa watu et mwambie tilalila kamwe kanzu haifanan na dera blue kakusha tu na kib hakujib bas bichwa likamjaa akaon arudie kweny fresh rmx.. Kiukwl ukifatilia nan mchokoz utaju ni mond maan kil sk yy ndo anaanzisha.. Fid atulie ajipange upya kurudsha heshm aloipoteza kwa njaa za kipuuz.. Pia mond ndo kamuanza ommy maana ommy alkua ashaachana na mond anaangalia maisha yake ss kila sk kuitwa shoga inauma hasw kwa mwanaume rijal mm naamini tusi kubwa kumtukana mwanaume mwnzio ni kumuita shoga haya mengne yanafayia. So ommy hajafanya vzr lkn huenda alichoka kila sk kuitwa punga inauma ndo maana kapanik

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Domo angejibu kwa kumtukania dimpoz kwa mama ake nahisi insta pangechafuka watu tunashangilia ujinga kutaniana kupo mbona kiba alimjib domo kwa kumuita malikia wa nguvu watu hawajamaind lakini unahisi ni kw nini ommy kaleta mtafaruku kw sababu kamhusisha mtu aziyehusika yeye angedili na domo personally siyo kuingiza wazaz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaanzisha vita halafu unichagulie silaha? Vita ni vita Mura

Lexus Mayai
 
Domo angejibu kwa kumtukania dimpoz kwa mama ake nahisi insta pangechafuka watu tunashangilia ujinga kutaniana kupo mbona kiba alimjib domo kwa kumuita malikia wa nguvu watu hawajamaind lakini unahisi ni kw nini ommy kaleta mtafaruku kw sababu kamhusisha mtu aziyehusika yeye angedili na domo personally siyo kuingiza wazaz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza aliitwa shoga akaamua kukausha kistaarabu siku zikapita life likawa normal.... ghafla tunasikia verse akitukanwa tena! huu ni uchokozi, kama mtu kaamua kukaa kimya kwanini usiachane nae? Yaan unamtukana shoga halafu unasema akitaka kujibu aende studio achukue biti la fid q halafu achane! nani amekuambia kuchana ni makalio kila mtu anayo? Na kwanin umchagulie mtu namna ya kujibu? Eti wasihusishwe wazazi, eti watukanane wenyew kwa wenyew, kwan dimpoz ashawahi kusema anataka kutukanana na Mondi? Kuna wakati mtu unalazimika kutumia siraha za maangamiz ya halaiki ili kumaliza vita... ni kama vile leo hii lije jeshi la kenya kisha liulipue uwanja wetu wa taifa halafu waseme tukitaka kulipa kisasi na sisi tukalipue uwanja wao wa taifa... shabamiti kwanin tupangiane? kimsingi tutaenda kulipua vituo vya habari, mahospitali, shule, madaraja, ikulu, bunge, na kila kitu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom