Injinia Kitini
Member
- Dec 29, 2012
- 58
- 34
Sanaa ya bongo sawa na gurudumu bovu.Duhh....
Hapo ndipo sanaa ya bongo ilipo fikia
Kiki kwa kipikipiMsanii wa Hip Hop Fid Q amedai msanii Omy Dimpoz amefanya jambo la hovyo sana kiasi kwamba hadi sasa haupendi wimbo wake wa fresh
Ommy Dimpoz alitupia picha akiwa na mama Diamond na kuandika maneno ya kumdhalilisha
kitu ambacho fid Q hakutegemea kufika huko kwa kuwa muziki ni burudani na msanii kumdiss mwingine kupitia muziki kunachangamsha game ila sio kutukana wazazi
Kwani omary sio punga?? Acha kutetea upuuziHuyo nasema mpuuz kwa sasa kwanin alishindwa kumshaur mond ishu ya kumtukana mwenzie kwa dis song yake ile huwez kuita mwenzio shoga afu utalajie akujibu kistarabu ommy kafanya sahihi tu .(kumbuka hata mama wa ommy kadhalilishwa kwa mwanaye kuitwa shoga)
Usichokifahamu ni kuwa Ommy hana Mama alishatangulia mbele za haki.Juu ya Mama yake Ommy pia au!?
Yeye mwenyewe ndio amesababisha si engemshauri diamond kabla yeye alishangiliaJuu ya Mama yake Ommy pia au!?
Domo angejibu kwa kumtukania dimpoz kwa mama ake nahisi insta pangechafuka watu tunashangilia ujinga kutaniana kupo mbona kiba alimjib domo kwa kumuita malikia wa nguvu watu hawajamaind lakini unahisi ni kw nini ommy kaleta mtafaruku kw sababu kamhusisha mtu aziyehusika yeye angedili na domo personally siyo kuingiza wazaz.Ukianzisha vita usinichagulie silaha!
Kwenye fresh remix kuna mzaz wa mtu katukanwa au kufedheheshwa diss zipo kwnye mziki hata mbele wanadisiana lakin hutoona kajibu kwa kuingiza wazaz. Domo siyo mtu wa kwanza kudisi msanii mwenzie.Hapa nagundua kumbe akifanya flan fresh lkn flan sio fresh,ufike hatua watu wajitambue shame on fid,ni mjinga ndo ataamini we uliskilizia huo wimbo kwenye radio,na sio studio au home,je matusi yaliyopo kwenye wimbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaanzisha vita halafu unichagulie silaha? Vita ni vita MuraDomo angejibu kwa kumtukania dimpoz kwa mama ake nahisi insta pangechafuka watu tunashangilia ujinga kutaniana kupo mbona kiba alimjib domo kwa kumuita malikia wa nguvu watu hawajamaind lakini unahisi ni kw nini ommy kaleta mtafaruku kw sababu kamhusisha mtu aziyehusika yeye angedili na domo personally siyo kuingiza wazaz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza aliitwa shoga akaamua kukausha kistaarabu siku zikapita life likawa normal.... ghafla tunasikia verse akitukanwa tena! huu ni uchokozi, kama mtu kaamua kukaa kimya kwanini usiachane nae? Yaan unamtukana shoga halafu unasema akitaka kujibu aende studio achukue biti la fid q halafu achane! nani amekuambia kuchana ni makalio kila mtu anayo? Na kwanin umchagulie mtu namna ya kujibu? Eti wasihusishwe wazazi, eti watukanane wenyew kwa wenyew, kwan dimpoz ashawahi kusema anataka kutukanana na Mondi? Kuna wakati mtu unalazimika kutumia siraha za maangamiz ya halaiki ili kumaliza vita... ni kama vile leo hii lije jeshi la kenya kisha liulipue uwanja wetu wa taifa halafu waseme tukitaka kulipa kisasi na sisi tukalipue uwanja wao wa taifa... shabamiti kwanin tupangiane? kimsingi tutaenda kulipua vituo vya habari, mahospitali, shule, madaraja, ikulu, bunge, na kila kitu....Domo angejibu kwa kumtukania dimpoz kwa mama ake nahisi insta pangechafuka watu tunashangilia ujinga kutaniana kupo mbona kiba alimjib domo kwa kumuita malikia wa nguvu watu hawajamaind lakini unahisi ni kw nini ommy kaleta mtafaruku kw sababu kamhusisha mtu aziyehusika yeye angedili na domo personally siyo kuingiza wazaz.
Sent using Jamii Forums mobile app