Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Fid Q ni mwana Hip Pop mshamba kuwahi kutokea yupo top 3.......


Ningemwona Dimpoz ni mjinga kama ningepata ushahidi wa upande wa pili kuwa alishindwa kumfikisha mlima kilimanjaro huyo mama Dai.....
 
Fid unatafuta kiki ili nyimbo iendelee kununuliwa tu huku mitandaoni

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Bahati mbaya zaidi nyimbo inayonunuliwa ni Remix, sio Orginal Version
 
Usitake kujifanya huelewi somo.....
Mondi anadai Ommy ni shoga si ndivyo???
sasa Ommy kaonesha kua yeye sio shoga na kama ni shoga basi Mondi akamuulize bi mdashi wake anachomfanya/alichomfanya..... mbona easy tu
sasa kwan hapo katoka nje ya key bado yupo mule mule ame dili na Mondi personally hahahahahahahahahahahahaha

Nipo vitani usinichagulie silaha ya kutumia.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
1. Haiitaji kusoma katiba kujua kama Diammond alidhalilisha utu wa Ommy Dimpoz
2. Haiitaji kuifahamu bongo fleva kujua kama Ali Kiba anawimbo unaitwa Cinderela.....
3. Haiitaji kuwa na PHD kujua Diamond alilenga kumuongelea Alikiba. A. Diamond ni mwanaume kwanini aongelee kufananiskwa na mwanamke? B. Kwanini Diamond alitumia jina la Cinderela badala ya jina lingine kama Mariam, Aisha, Hamisa, Neema, n.k
4. Fid, 'mimi' na wew tuna react kwenye vitu tofauti kwa njia tofauti. mfano demu utakaye mpenda sio lazima mim nimpende kama ni hivyo hutakiwi kusema ulifikiri Alikiba angekwambia umpe beat aimbe na yeye, huwezi jua mtu angereact vip kwa kudhalilishwa
5. Fid ulikuwa desperate baada Diamond anataka kuimba hukujali ataimba nini huo ndo ukweli
6. Fid level zako niza Sarkodie ila hauko serious...una mashairi na unajua mziki, lugha nayo imo.... i wonder unafanyaga nin kwenye bus la Fiesta ......
7. Fid ushakuwa mtu mzima.....be responsible for your decisions and move forward, try to create your empire vuka boda Fid
 
wewe ndio mpuuzi,fid kasema kuingiza wazazi ni ujinga.pambaneni wenyewe achanen na wazaz
wewe nitaira ivi bado hujajua kuwa akutukanaye achagui tusi ivi diamond alivo mtukana mwenzake kumuita shoga alishawahi shuhudia icho kitu au aliwahi kumpa ndogo Ommy akashindwa kupiga mambo hakuna tusi baya kama kuambwiwa shoga Alf mbona kuna mashuga mamy makubwa kuliko mama mondi wanatoka navijana me sijaina ubaya npo Ommy kazana baba ikiwezekana mpaka ukumbini

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Ulisikiliza ile interview ya Mondi pale clouds wakati anasema mbele ya mamilioni ya watu nchi nzima na nje ya nchi kua Ommy anapumuliwa kisogoni??? imesahau kua mondi huyo huyo alisema eti kisa cha kuweka bifu na Ommy ni kitendo cha yeye kumchomolea kumpumulia kisogoni??

Yaani amtangaze mwenzie kua Shoga halafu mwenzie kusema kua hapana me sio shoga maana bi mdashi wako ananijua vilivyo ndio iwe kosa???

ushawaza Mond alimdhalilishaje Ommy,
unajua watu wangapi wameamini mpk sasa,
Angeweza hata kumfungulia mashtaka lakin bi sandra akamzima na kumwambia "msamehe mtoto wetu babe me nakujua vizuri" hahahahahahahahahahahahahahahahahahaha imepenya hiyoooooooooooooo

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Mpambanaji hachagui silaha. Wanyooshe ommy hadi wakojoe wakalale[emoji3][emoji3][emoji3]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Aliulizwa hakujibu ivo acha uongo ata mm nilisikiliza acha kutujaza aliandika pale unapokaa kumpulia mtu alafu anakaairika na hakutaja jina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww naye nahisi una element za kina dimpoz maana ata uandiahi wako tu unanipa ukakasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliulizwa hakujibu ivo acha uongo ata mm nilisikiliza acha kutujaza aliandika pale unapokaa kumpulia mtu alafu anakaairika na hakutaja jina

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaangalie tena interview youtube..... hakutaja jina kwani mada ilikua nini hadi akasema hayo

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…